MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

Kwahiyo nifanyaje sasa mkuu?
Ombeni kwa imani zenu makanisani, msikitini, ndugu yako huyo ni pombe tu zinamchanganya akiwaza hana kitu anachanganyikiwa, kuhusu wewe naimani hauna adui yeyote wala anayetaka kumuua ndugu yako.
Hapo mganga keshaona mmemuamini ametafuta pa kuwakamatia mtoe pesa mmbaki weupe
 
Asante mkuu tutafanya hivyo
 
Ilikuwaje mkuu tujuze hata kwa uchache na je ulijikwamuaje?

Ahaa kumbe unatambua,waganga washenzi sana wanataka watu wawe wqendelee kuwa wategemezi wao,mganga anaweza kukutupia ruhani na ruhani hilohilo akajifanya anataka kulitoa
Kama mambo ndivyo yalivyo hivi sitaenda tena wala kutumia dawa zake
 
Huyo mganga atawapiga hela na kuwagombanisha ukooo na ndugu zenu mpaka mchoke wenyewe.

Utasikia shangazi yake kamroga, ama mama mkubwa ndie kamroga, ama ndugu fulani kamroga

Note : huyo mganga hatawaomba hela cash atawapiga hela kupitia vifaa na dawa, atawaelekeza maduka ya kununua dawa ambayo kuna matapeli wenzake.

kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Njoo ujifiche kwangu wasikutoe sadaka last born wetu
d62fd94832fb2ca529313d2e6e0fc844.jpg
 
Back
Top Bottom