Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,607
- 59,664
Hapo ni wewe kuamua unataka kufanya nini kwani mwanzo makanisa ulikua hauyaoni unayaona sasa ushajaa kitanzini ndio unaanza kulikumbuka kanisa? Fanya ulichoambiwa ufanye ili ujitoe kwenye hicho kitanzi au usifanye ulipe gharama kuzidi ile gharama uliyoingia nayo mwanzo, utaamua mwenyewe unasuka au unanyoaSasa kuliko kwenda kufanya hiyo dawa si ni heri nikajitakase kanisani, kwanini niende huko then baadae nianze kuhangaika kwenda kujitakasa
Ninaposema gharama namaanisha wewe umeingia mkataba na huyo mganga tayari sasa unadaiwa kwa hio lipa deni la mganga kwa kufanya ulichoambiwa ufanye, usipolipa deni lake utalipa gharama mara 2 kwa hio kakwambia oga tope wewe oga kisha mtazame usoni acha uoga ndio unavyojitoa hivyo hofu ni adui namba moja wa maisha yako, wewe umeshajazwa hofu sasa ili kujitoa kwenye hofu fanya alichokwambia ufanye kinyume chake utakua na hofu mara 2 ya ile ya mwanzo maana unakua na viulizo vingi