MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Unayoyasema hapa Kuna watu Wanadhani n nadhariaa kwakuwa hayajawakutaa ilaa haya mambo yapo sana watu kuchezeanaa,,,poleni Sanaa km familiaa najua mnayoyapitiaaa
 
Hao wataalamu siyo wa kuwaamini sana, huwa wamekaa kiujanja ujanja sana.

But amedai since brother ameanza kupewa huduma na huyo mtaalamu, hali yake imezidi kuwa imara.
Basi sawa ngoja tuwaache Kila mtu na Imani yake...
Sisi tuwe tunasoma mirejesho tu..🤗
 
Huyo mganga ni tapeli hata hio irizi kuna watu wake aliwatuma kuificha sehemu hapo kwen...kwa haya unayoyaeleza hapa huyo mganga anawavutia pumzi awapige hela ndefu.

Hilo la kukwambia hata wewe unaweza kutolewa kafara nia na madhumun ni kukutisha ili litakapokuja suala la kutoa hela uwe mwepesi kutoa.

NB: huyo mganga hatawaomba hela cash atawapiga hela kupitia vifaa
Matapeli wako kibao..tena kwenye sekta ya uganga ndio wamejaa 99%
 
Hii
Guys, yule kaka yangu niliyewaambia alipatwa na ukichaa kwa mara ya pili baada ya kukabidhiwa pikipiki mpya, sasa tulihangaika na tiba kwa mtaalamu.

Kwasasa ana nafuu kubwa kabisa japokuwa bado hajatulia kuna muda anakuwa anahisi kama watu wanaokuja kumuona wanataka kumfanyia vitu vibaya ila yote kwa yote ni jambo la kumshukuru Mungu kwani alivyo mwanzo na sasa hivi ni tofauti kabisa.

Sasa wakuu huyo mtaalamu kuna mambo alikuwa anayasema ni mazito sasa sijui kama ni kweli au lah! Hadi nabaki nachanganyikiwa.

Hii hapo chini ni picha ya hirizi tuliyoikuta nyumbani siku ya kwanza mtaalamu alivyokuja kuanza tiba ya kaka yangu.
Hii kaja nayo yeye ili kuwalainisha
 
Kuhusu kututapeli huyu hajakaa kitapeli kwasababu tangu mwanzoni tunanunua vifaa vya tiba anasema ndugu yetu akishapona tutampelekea sadaka lakini hajawahi kutupangia bei kasema anatusaidia
Hapa anawapanga ni sawa mwamposa anakwambia sadaka sio lazima ila ukifika kanisani nusu ya mahubiri ni matoleo na vitisho juu lazima utatoa tu.waganga na wachungaji wa gia zao mwanzoni
 
Hapa anawapanga ni sawa mwamposa anakwambia sadaka sio lazima ila ukifika kanisani nusu ya mahubiri ni matoleo na vitisho juu lazima utatoa tu.waganga na wachungaji wa gia zao mwanzoni
Sasa mkuu wewe unashauri tuchukue hatua gani kama wachungaji na waganga matapeli?
 
Jiran pole sana. Mmmh maisha haya.
Sadaka ina maana ni kafara!
Kwamba asipomtoa kaka yako atakutoa wewe!

Inafikirisha sana.

La kutafakari!
Kwann alivyopata pikpik mpya ndio kichaa kikaanza, wakat ndio ilikuwa rahisi kumfanya apate ajali apotee? Au asionekane ili ijulikane na jamii kuwa amekimbia na pikpik ya watu?.

Kwenu kuna historia ya watu kupotea au kufariki kwenye vifo vya utata?

Binti Sayunii
 
Aaaah nimesahau mwaya but kuna uzi humu niliweka,

Mungu katusahaulisha,now tunaenjoy na dogo anaenjoy na skuli anawaongozea.

Waganga ni wagombanishi ,mkija shtuka mshapigwa vya kutosha.,,,,,,,,
Yeye kagoma kututajia kabisa amesema tu mwanamke mmoja na wanaume wawili, yaani hapo katuacha na maswali sasa
 
Jiran pole sana. Mmmh maisha haya.
Sadaka ina maana ni kafara!
Kwamba asipomtoa kaka yako atakutoa wewe!

Inafikirisha sana.

La kutafakari!
Kwann alivyopata pikpik mpya ndio kichaa kikaanza, wakat ndio ilikuwa rahisi kumfanya apate ajali apotee? Au asionekane ili ijulikane na jamii kuwa amekimbia na pikpik ya watu?.

Kwenu kuna historia ya watu kupotea au kufariki kwenye vifo vya utata?

Binti Sayunii
Hapana hatuna hiyo historia na kwenye hizo sadaka amesema wanatowaga mwezi wa 6 na wa 12 na kingine walitaka kumfanya kaka yangu awe kichaa hivyo moja kwa moja inasemekana, nadhani anavyoteseka wao ndiyo wanafurahia
 
Jiran pole sana. Mmmh maisha haya.
Sadaka ina maana ni kafara!
Kwamba asipomtoa kaka yako atakutoa wewe!

Inafikirisha sana.

La kutafakari!
Kwann alivyopata pikpik mpya ndio kichaa kikaanza, wakat ndio ilikuwa rahisi kumfanya apate ajali apotee? Au asionekane ili ijulikane na jamii kuwa amekimbia na pikpik ya watu?.

Kwenu kuna historia ya watu kupotea au kufariki kwenye vifo vya utata?

Binti Sayunii
Hii imekaa kama mind game ila ngoja tuone mwisho wake.
 
Back
Top Bottom