MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

Hiyo dawa aliwaambia inakuwaje kuwaje, ya kunywa, kupaka au mnafanyaje?
Na kinga ambayo mtapewa wewe na kaka yako, watawafanyiaje?
Hiyo dawa ni ya kuoga kwa siku7 kuhusu hiyo kinga sasa sijajua kama atatuchanja au itakuwaje hajatuambia, ilividi hiyo dawa ianzwe leo lakini mimi ratiba zimenibana za kazini
 
Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Hakuna kitu kama hicho kuwa na amani. Anatengeneza mazingira ya kuendelea kuchuma. Inaweza wachukua hata miaka minne mpaka kuujua ukweli. Waganga wako very smart kwenye move zao.
 
Hiyo dawa ni ya kuoga kwa siku7 kuhusu hiyo kinga sasa sijajua kama atatuchanja au itakuwaje hajatuambia, ilividi hiyo dawa ianzwe leo lakini mimi ratiba zimenibana za kazini
Hizi imani hizi ukiingia kichwa kichwa unasajiriwa chama cha wachawi ukikosea masharti unaua ukoo mzima, so muwe makini waganga ni wachawi waliochangamka
 
Guys, yule kaka yangu niliyewaambia alipatwa na ukichaa kwa mara ya pili baada ya kukabidhiwa pikipiki mpya, sasa tulihangaika na tiba kwa mtaalamu.

Kwasasa ana nafuu kubwa kabisa japokuwa bado hajatulia kuna muda anakuwa anahisi kama watu wanaokuja kumuona wanataka kumfanyia vitu vibaya ila yote kwa yote ni jambo la kumshukuru Mungu kwani alivyo mwanzo na sasa hivi ni tofauti kabisa.

Sasa wakuu huyo mtaalamu kuna mambo alikuwa anayasema ni mazito sasa sijui kama ni kweli au lah! Hadi nabaki nachanganyikiwa.

Hii hapo chini ni picha ya hirizi tuliyoikuta nyumbani siku ya kwanza mtaalamu alivyokuja kuanza tiba ya kaka yangu.
Kuweni makini hili ni tangazo wanajua kabisa kuna watu wataomba number ya mganga na ndo kipigo cha utapeli
 
Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Omba asylum nchini Marekani. Waambie kuna watu wanataka kukutoa kafara kama ukibaki Tanzania.🤣🤣

The Mongolian Savage umbwaaa
 
Hizi imani hizi ukiingia kichwa kichwa unasajiriwa chama cha wachawi ukikosea masharti unaua ukoo mzima, so muwe makini waganga ni wachawi waliochangamka
Duh! Mbona unanitisha mkuu ntakuwa hata siendi kufanya hiyo dawa
 
Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Nimekwambia mkiingia kichwa kichwa mtapukutishwa ukoo mzima kuweni makini kuweni makini tena, mganga anawaset muingie kwenye mfumo anachosimulia ni story za chama cha wachawi akiwapa masharti mkafanya ndivyo sivyo mtajuta baadae kuweni makini kuna mtego atawapa mkinasa mmeisha na anajua hamuwezi kua makini kiasi hicho kwa hio lazima mnase
 
Hii imekaa kama mind game ila ngoja tuone mwisho wake.
Hata Mm naona pia.
Komradhi Jiran, ila haya ni mawazo yangu.

Ulisema kuwa alishawah ugua tena huko nyuma, na pia kama nakumbuka alikuwa pia na bodaboda nyingne.
Ulisema pia kuwa anavuta Ganja.

Na hapa katkat wakat hana pikpik alikuwa yuko vizur.

Mm nadhan alivyopata pikpik akawa na kipato alienda vuta ganja iliyochanganywa na madawa ya kulevya, na ikaharibu ubongo wake.
Kipind hayuko vizur alikuwa anavuta ya kawaida ila alivyopata ajira akawa sasa anavuta zenye madawa ambazo ni kali zaidi.

Ndugu yenu hajarogwa.
Ww pia hujarogwa achana na hizo dawa alizokupa mganga.

Mkiendelea kumtegemea huyo mtaalam huko mbele atawagombanisha na pia atawala hela.

Classmate wangu mmoja alichanganyikiwa tukiwa form 6, hapo awali O level alikuwa anavuta bangi ila alivyoingia shule za mjini A level (azania )alikutana na bang zenye madawa pale mwananyamala , Na akawa kichaa kabisa, hakumaliza Six, na sikuhizi hatujui yuko wap!
 
Hakuna kitu kama hicho kuwa na amani. Anatengeneza mazingira ya kuendelea kuchuma. Inaweza wachukua hata miaka minne mpaka kuujua ukweli. Waganga wako very smart kwenye move zao.
Asante mkuu, kwahiyo unanishauri hata hiyo dawa nisiende kuoga?
 
Kuna dawa nimeambiwa nitumie for 7days atanipa after hapo ndiyo tutapewa kinga kwa pamoja na kingine alisema mimi kuna Chale nimechanjwa na hao wanachama kwenye paji la uso hapa sasa kila ninapoenda wanakuwa wananiona hao watu wabaya
Usijaribu kuingia huko. Waganga wana uwezo wa kupandikiza tatizo ili uendelee kuwa mtumwa wao. Nina wanafamilia ambao walipitia hali hizo nilipowaambia waachane nao waligoma nikaamua kukaa pembeni.

Ilifikia hatua wanaweka dawa kwa njululu. Nakwambia malupulupu mojawapo ni kufanya ngono pamoja na wewe na hata mama.
 
Back
Top Bottom