Nimekwambia mkiingia kichwa kichwa mtapukutishwa ukoo mzima kuweni makini kuweni makini tena, mganga anawaset muingie kwenye mfumo anachosimulia ni story za chama cha wachawi akiwapa masharti mkafanya ndivyo sivyo mtajuta baadae kuweni makini kuna mtego atawapa mkinasa mmeisha na anajua hamuwezi kua makini kiasi hicho kwa hio lazima mnase
Hawajui waganga walivyo wajanja.
Watamfanyia practical za chemistry ambazo hajawai kuziona.. yeye atajua dawa zinafanya miujiza ndio maana anaona maajabu ya kichawi. Kumbe chemical reactions tu