MREJESHO; Wa Kaka yangu aliyechanganyikiwa

WHAAAAT?
Duuh mambo ya waswahili ni hatari sana, poleni jamani.

Kwahiyo wewe unafanyaje sasa ili kuepuka kutolewa sadaka?
Kuna dawa nimeambiwa nitumie for 7days atanipa after hapo ndiyo tutapewa kinga kwa pamoja na kingine alisema mimi kuna Chale nimechanjwa na hao wanachama kwenye paji la uso hapa sasa kila ninapoenda wanakuwa wananiona hao watu wabaya
 
Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Ukipata muda kwa utulivu kabisa SIKILIZA WIMBO WA SOLOMON MKUBWA_ MFALME WA AMANI.

HUMO KUNA MAJIBU/ JAWABU YA WATU WANAO ENDA KWA WAGANGA.
 
Asante sana, la kwanza alilosema ni kwamba mtu anayefanya hivyo kwa ndugu yangu ni mtu katika familia na majirani na kingine ni kwamba hao watu wapo katika chama Chao hivyo kuna sadaka mwezi wa 6 na wa 12 kama wameshindwa kwa kaka yangu wanaweza wakanitoa mimi sadaka maana mimi ndiye mtoto wa kike wa mwisho na ndiye last born😪
Huyo mganga ni tapeli hata hio irizi kuna watu wake aliwatuma kuificha sehemu hapo kwen...kwa haya unayoyaeleza hapa huyo mganga anawavutia pumzi awapige hela ndefu.

Hilo la kukwambia hata wewe unaweza kutolewa kafara nia na madhumun ni kukutisha ili litakapokuja suala la kutoa hela uwe mwepesi kutoa.

NB: huyo mganga hatawaomba hela cash atawapiga hela kupitia vifaa
 
Waganga wagombanishi,waganga waongo,

Jinsi tuliyo yapitia kama family na hao waganga walivyotumaliza😀, mdogo wangu alikuwa nusu chizi,nusu mwendawazimu,
........................................
 
Huyo mganga ni tapeli hata hio irizi kuna watu wake aliwatuma kuificha sehemu hapo kwen...kwa haya unayoyaeleza hapa huyo mganga anawavutia pumzi awapige hela ndefu.

Hilo la kukwambia hata wewe unaweza kutolewa kafara nia na madhumun ni kukutisha ili litakapokuja suala la kutoa hela uwe mwepesi kutoa.

NB: huyo mganga hatawaomba hela cash atawapiga hela kupitia vifaa
Hivyo vifaa ambavyo huwa anaagiza huwa analetewa tu sisi tunanunua wenyewe lakini
 
Back
Top Bottom