Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

Namaanisha kwamba wewe umeandika kua umeamu kua single na hauhitaji mahusiano na mwanaume, nadhani unamaanisha utaishi mwenyewe lakini katika uzi wako kuna sehemu umeandika kwamba unazidisha juhudi kumuomba Mungu ndo nakuuliza unaomba nini Mungu wakati mada yako ni kuolewa it means unamuomba Mungu akupe mume mwema by that fact kumbe hujaamua kua single isipokua unalazimika kua single kwa sababu Mungu hajakupa unayeridhika kua nae.
Kwa kusema hayo nasema bado unahitaji mume acha kutumia maneno ya kujifungia bahati kwamba umeamua kua single.
Huwezi kua single labda kama una matatizo kiafya
Sina Tatizo lolote lile
 
Tumekuelewa
Mimi nahitaji tuwe friend with benefit we waonaje hili wazo bibie My god win
 
Kawaida kila mtu anapatwa kile anachostahili......

Unapokosa au kushindwa kufanikiwa au kufanikisha jambo fulani...katika maisha yako.....mtu wa kwanza wa kulaumiwa ni wewe....na unatakiwa ujichunguze kabla ya hujawanyooshea wengine vidole....

Kawaida....watu tunaowavuta maishani mwetu ni kutokana haiba zetu.....

Unapojizoesha kuwa na haiba nzuri...daima utavuta watu wazuri.....na unajozoeza haiba mbaya....watakuja wa kufanana nawe....
Asante kwa Maneno Yako
 
Habari zenu.naomba niwashukuru kwa michango yenu wotee. Ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, Kunishauri na kunifariji.

Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki.bali ntaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU,

nisije tena dumbukia kwenye mahusiano ambayo Hayana msimamo na malengo.

ANGALIZO[emoji724]

[emoji838]Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.

[emoji120][emoji120].Asanteni.
Unajidanganya tu,huwezi kwenda against nature.Kwa sasa upo kwenye stress za mapenzi na upo kwenye hatari ya kuuvaa mkenge kwa kuwa tu unataka kwenda against nature
 
Unajidanganya tu,huwezi kwenda against nature.Kwa sasa upo kwenye stress za mapenzi na upo kwenye hatari ya kuuvaa mkenge kwa kuwa tu unataka kwenda against nature
Mkenge upi
 
Mkenge upi
"Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote"
Fafanua huhitaji mwanaume kwa maisha yako yote au kwa kipindi kipi?inaonekana kama moyo na ubongo wako vinadanganyana dada
 
Back
Top Bottom