Mr Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 26, 2016
- 1,670
- 767
Stress mbaya sana
hasa ikibalee
Stress mbaya sana
Habari zenu.naomba niwashukuru kwa michango yenu wotee. Ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, Kunishauri na kunifariji.
Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki.bali ntaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU,
nisije tena dumbukia kwenye mahusiano ambayo Hayana msimamo na malengo.
ANGALIZO[emoji724]
[emoji838]Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.
[emoji120][emoji120].Asanteni.
Nikuambie nini?Niambieee basi
Hivi kuna binadamu asie na kasoro?LAZIMA UNA KASORO ILA HUTAKI KUIWEKA BAYANA , BUT SORRY 4 THAT MISS
Endelea kusema all men are players huenda ukaolewa na kochaHabari zenu.naomba niwashukuru kwa michango yenu wotee. Ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, Kunishauri na kunifariji.
Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki.bali ntaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU,
nisije tena dumbukia kwenye mahusiano ambayo Hayana msimamo na malengo.
ANGALIZO[emoji724]
[emoji838]Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.
[emoji120][emoji120].Asanteni.
Km hujui nmeuliza nn basi...unanizungushaaa [emoji2]Nikuambie nini?
Haya.Km hujui nmeuliza nn basi...unanizungushaaa [emoji2]
Vinadanganya kivipi?"Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote"
Fafanua huhitaji mwanaume kwa maisha yako yote au kwa kipindi kipi?inaonekana kama moyo na ubongo wako vinadanganyana dada
Moyo umeumizwa,lakini ubongo wako unaudanganya moyo kuwa nao umeumia.Joto likikushuka utapata mwananume na utasahau kila kituVinadanganya kivipi?
unalalamika hupati mume alafu hutaki kutongozwa nimegundua tatizo lako lilipo.Za kutongozana
Hivi alitaka mume au alisema amekata tamaa ya kuolewa?Mm ckuona tangazo lako la kutaka mume
Ungekuwa wangu tayari
Haeleweki watu wanataka kufanya uwekezaji anababaikaHivi alitaka mume au alisema amekata tamaa ya kuolewa?
Hv kutaka maisha bora ni dhambi??Avatar yako inaelezea kila kitu kuhusu wewe Na ndoa.Ndoto yako NI kuwa Mke wa fulani Nina watoto wawili wakiume Na wakike.Wakike anasema Shule ya kimataifa Na wakiume anasoma Kiingereza.Mme Wangu NI maneja wa bank Na hatuishi Uswazi blah blah.
Mapenzi NI kama kipepeo ukikifata kinakukimbia Na ukitulia kina kuja usoni.puani,masikioni Na kila sehemu.Mapenzi lazima uwe Na subira sio unavyo taka wewe basi ndio hivyo
Kila la kheri
Pole sana editHuo mwaka ulijiweka tu. Kimakosa
Your God winHabari zenu,
Naomba niwashukuru kwa michango yenu katika uzi wa Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa wote ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, kunishauri na kunifariji.
Maamuzi niliyochukua ni kwamba nimeamua kuwa single, na wala sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki, bali nitaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU.
Nisijetena dumbukia kwenye mahusiano ambayo hayana msimamo na malengo.
ANGALIZO[emoji724]
[emoji838] Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.
[emoji120][emoji120].
Asanteni.