My god win
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 361
- 240
- Thread starter
- #121
Kwani unasema ninakbriUna KIBRI
Kwani unasema ninakbriUna KIBRI
Staki kuamini kuwa na wewe uko kwenye hilo kundi.Well come to the stress free zone, your life is in your hands with prayers you will be surprised how stronger, faster and smarter you are.
AhahahaMungu atamleta kwa njia za mwenyewe. Kama anavyotulea riziki
Hu Tiwi?Well come to the stress free zone, your life is in your hands with prayers you will be surprised how stronger, faster and smarter you are.
Hu Tiwi?
LieWell come to the stress free zone, your life is in your hands with prayers you will be surprised how stronger, faster and smarter you are.
Kunradhi.....Samahani kwa kuingilia yasiyo nihusu.....lakini kwa swali hilo....ni kama unamvunjia heshima dada yangu kipenzi.....
Kudengua kidogo nayo ina raha yake.Hahahaha yana raha yake
Unasema hutaki huku unaanza kutoa ushirikiano
Sio kudengua kupitiliza mtu anaomba mpk anataka kuliaKudengua kidogo nayo ina raha yake.
Pumbavuuuuu kweliHabari zenu.naomba niwashukuru kwa michango yenu wotee. Ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, Kunishauri na kunifariji.
Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki.bali ntaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU,
nisije tena dumbukia kwenye mahusiano ambayo Hayana msimamo na malengo.
ANGALIZO[emoji724]
[emoji838]Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.
[emoji120][emoji120].Asanteni.
HayaMhhhhhh wanaume wa karne hii tunashida sana
mi kuna wanawake wengine ukiwaona tu usoni unajua mbeleni yukoje ni kama kuchagua baiskel wakati unapanga safari ya kutoka dar to mwanza nadhani ata msata hutafika
embu jiangalie vizuri na umuulize wa jirani yako maana ukitaka kujua una nuka au unanukia jirani yak atakuambia
Kweli. Wengine hajaandikiwa kuolewaSio lazima uolewe