Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

Ahahaha
Hapo unaenda chenga ndugu yangu, wakati unasubiri lazima uwe open kwa watakao kuhutaji.
Mume siyo mvua kwamba kuna siku tu ata dondoka kutoka kwenye mawingu.
Hebu acha wagombea waje ndio mume atapatikana huko huko.
Imenibidi nicheke
 
Kwenye profile yako inaonesha wewe ni mkubwa kuliko hata rais wa Zimbabwe Comrade Robert Mugabe. Endelea kule wajukuu zako tu.
 
Habari zenu.naomba niwashukuru kwa michango yenu wotee. Ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, Kunishauri na kunifariji.

Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki.bali ntaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU,

nisije tena dumbukia kwenye mahusiano ambayo Hayana msimamo na malengo.

ANGALIZO[emoji724]

[emoji838]Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.

[emoji120][emoji120].Asanteni.

Mme wako bado nasoma,nikimaliza shule nitakutafuta.
 
Endelea kumuomba Mungu akuonyeshe ni yupi,

ila fungua PM,lol usisuse bwana.
 
Wadada wa siku hz vichekesho sana, unakuta unamfata ukiwa na malengo kabisa ya kuoa anakuzungusha baadae unaahirisha anaanza oooh nilikuwa nakupima kama uko serious, then ukitafuta mwingine ukatangaza ndoa anaanza kulialia tena ooh sina bahati SHIDA KUBWA MARINGO YASIYO NA MAANA MWISHIWE MNABAKI SINGLEs
 
Back
Top Bottom