Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

Kaa kimya mwambie MUNGU,kuja hapa kusema hutaki mume ilihali faida au asala ni ya kwako humu nani atakusaidia?sorry kwa kauli yangu kama utakwazika lakini sioni sababu ya kusema sema hapa kwa swala hilo lililo ndani yako na MUNGU pekee.
Umeongea vizuri sana mkuu....kuna watu mnaona mbali sana!

Hivi mitandao inamsaidia nini mtu kutatua tatizo lako?!!

Mi naona hapa ni pa kujiburudisha na kununua simu, laptop, jeans!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Rejection Is An Ugly Thing. Ukiweza tolerate hiyo utakuja hapa na mrejesho tena unaomba mchango wa Harusi.

Swallow Your Pride Madam
 
Unajidanganya tu,huwezi kwenda against nature.Kwa sasa upo kwenye stress za mapenzi na upo kwenye hatari ya kuuvaa mkenge kwa kuwa tu unataka kwenda against nature
Kweli mtupu..

Asipokuwa makini ataingia pabaya kuliko pa mwanzo...
 
Ha ha ha,kwa majibu ya huyu mdada,
kwanza ni mtu wa hasira,
majibu mkato yakiashiria jeuri fulani ama kisilani,

conclusion-living with this women is not going to be a cake walk for any man at all
 
mkuu mbona post imejieleza kabisa

amesema hahitaji mwanaume kwa hiki kipindi..

otherwise kama ulikuwa unataka kujua hadi tarehe gani ndio ataanza kuhitaji..
Kwa kipindi hiki hadi lini?mwezi,miezi sita au mwaka?ukiona mtu anasema hivyo ujue ana stress za mapenzi yupo kwenye frustration na ni rahisi sana kunaswa!
 
emoji838.png
Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.
Hhahahahahahahha....zipi ni za maana?

Ushauri wa nini wakati ushaamua?

Na kwanini unataka upewe ushauri huko PM?
 
Ha ha ha,kwa majibu ya huyu mdada,
kwanza ni mtu wa hasira,
majibu mkato yakiashiria jeuri fulani ama kisilani,

conclusion-living with this women is not going to be a cake walk for any man at all
Hamna bwana, maybe frastrations tu.
 
Ndo maana unakosa mume wa kukuoa, inaonekana upo too selective, una-aim wanaume ambao cyo level zako (unrealistic expectations), hlf unajifanya hutaki kutongozwa pm kumbe unafiki 2 umekujaa, unapenda sana kutumiwa SMS na wanaume pm ila bac tu My god win
 
Umeongea vizuri sana mkuu....kuna watu mnaona mbali sana!

Hivi mitandao inamsaidia nini mtu kutatua tatizo lako?!!

Mi naona hapa ni pa kujiburudisha na kununua simu, laptop, jeans!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]

Mm nahic mtoa Mada hajielewi yupo kwenye sitaki nataka witnessj
 
Well come to the stress free zone, your life is in your hands with prayers you will be surprised how stronger, faster and smarter you are.
Angalia tu usije ukazeeka na huku utamu unautaka, karibu kwenye utamu wa ndoa..ndoa ina raha yake bwana asikwambie mtu
 
Dah haya Mapenzi jamani wengine tunataman kuingia tena wengine wameshachoka [emoji48]
 
Mm nahic mtoa Mada hajielewi yupo kwenye sitaki nataka witnessj
Anajielewa sana tuu mkuu...sema NDOA ni kitu anachodemand kwa sana mda huu!

Hayajakupata mkuu! Usiombe!

Ila baada ya mda itakuwa sawa tu

Nachoshangaa Mimi mume unamuomba M/Mungu si mchorano kama huu na binadamu hakusaidii sijui hana imani maskini!!!

Namuombea!
 
Back
Top Bottom