My god win
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 361
- 240
- Thread starter
- #161
TumekusikiaWadada wa siku hz vichekesho sana, unakuta unamfata ukiwa na malengo kabisa ya kuoa anakuzungusha baadae unaahirisha anaanza oooh nilikuwa nakupima kama uko serious, then ukitafuta mwingine ukatangaza ndoa anaanza kulialia tena ooh sina bahati SHIDA KUBWA MARINGO YASIYO NA MAANA MWISHIWE MNABAKI SINGLEs