Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

Mrejesho: Nimekata tamaa ya kuolewa

Anajielewa sana tuu mkuu...sema NDOA ni kitu anachodemand kwa sana mda huu!

Hayajakupata mkuu! Usiombe!

Ila baada ya mda itakuwa sawa tu

Nachoshangaa Mimi mume unamuomba M/Mungu si mchorano kama huu na binadamu hakusaidii sijui hana imani maskini!!!

Namuombea!

Maybe unaweza kuta wanaume ambao mtoa mada anawapenda, hao wanaume hawana mda nae..kama that's the case iyo hutokea kwa karibia kila MTU witnessj
 
Habari zenu.naomba niwashukuru kwa michango yenu wotee. Ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, Kunishauri na kunifariji.

Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki.bali ntaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU,

nisije tena dumbukia kwenye mahusiano ambayo Hayana msimamo na malengo.

ANGALIZO[emoji724]

[emoji838]Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.

[emoji120][emoji120].Asanteni.
..Mbona kama unamimba kwenye DP yako?..
 
pole sana.. ila mahusiano mazuri yatakuja yenyewe... wala hauhitaji kushauriwa juu ya hilo.. tuombe mungu uzima!
 
Well come to the stress free zone, your life is in your hands with prayers you will be surprised how stronger, faster and smarter you are.
"No zone is stress-free " and r member life is not a bed of roses, u've to encounter ups n downs that will eventually shape ur destiny n make u smarter n stronger,,,! Without which u can't stand anything,,,,!
 
Back
Top Bottom