Dola Iddy Wa Chelsea
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 2,125
- 1,535
chchchchch+ + +
chchchchch+ + +
My God win njoo pmYa nn. Umeelewa Kweli.
How many kids?Well come to the stress free zone, your life is in your hands with prayers you will be surprised how stronger, faster and smarter you are.
Exactly! Usipotengeneza mazingira ya kuwa 'wife material' hakuna mwanaume atakayekuoa watapita tu. Wanaume wapo makini sana katika kutambua yupi ni 'wife material'. Unakuta mwanamke anataka kuolewa alaf mizinga kwa mtu wake anapiga kila siku, unafikiri utaolewa kwa staili hiyo?Pole sana ila acha hasira..mme anakuja kwa process...
Mke , mume anataka kwa Mungu kuwa mpoleeHabari zenu,
Naomba niwashukuru kwa michango yenu katika uzi wa Nimekata tamaa ya kuolewa, wenzangu wote wameolewa wote ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, kunishauri na kunifariji.
Maamuzi niliyochukua ni kwamba nimeamua kuwa single, na wala sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki, bali nitaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU.
Nisijetena dumbukia kwenye mahusiano ambayo hayana msimamo na malengo.
ANGALIZO[emoji724]
[emoji838] Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.
[emoji120][emoji120].
Asanteni.
Je Tigo unatoa?Habari zenu,