Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 29,020
- 40,835
Naomba unipende bas naweweAsante kwa kunipenda
Naomba unipende bas naweweAsante kwa kunipenda
Mmmh....shosti mwezi uliopita si ulipost kuwa una mr anataka mzae naye kabla ya ndoa, then ukagairi kisa hana kazi ya maana na wewe una kakibalua ya kujishikiza.Habari zenu.naomba niwashukuru kwa michango yenu wotee. Ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, Kunishauri na kunifariji.
Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki.bali ntaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU,
nisije tena dumbukia kwenye mahusiano ambayo Hayana msimamo na malengo.
ANGALIZO[emoji724]
[emoji838]Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.
[emoji120][emoji120].Asanteni.
Unaogopa mimba?!..[emoji23][emoji23]Ndio.Nashukuru
ukiwa na amani ndo unakata tamaa? au mm ndo sijaielewa thread yako?Asante.
Mungu atamleta kwa njia za mwenyewe. Kama anavyotulea rizikiUkiamua kuwa single bila kuhitaji mahusiano yoyote huyo atakayekuoa Mungu atamleta kwa njia gani?
Au utaoteshwa?
NakupendaNaomba unipende bas nawewe
Kuna post ilikupitaMmmh....shosti mwezi uliopita si ulipost kuwa una mr anataka mzae naye kabla ya ndoa, then ukagairi kisa hana kazi ya maana na wewe una kakibalua ya kujishikiza.
Any way, pole na tutarajie post nyingine soon inayosema yule mr aliyekuwa maskini sasa ni tajili na umezaa naye.
Mwanamke haogopi mimba. Kwani ni lazima atapata. Ila anatakiwa aipate kwa halali tuUnaogopa mimba?!..[emoji23][emoji23]
Nadhani hujaelewaukiwa na amani ndo unakata tamaa? au mm ndo sijaielewa thread yako?
EVER HEARD OF A FESTIVE SEASON?Kwani xrismasi lini???
Shukraaan,Nakupenda
Numusakire go, anyakile mno!!!!Mimi natafuta mke wa kuoa. Nitafute
Kuna mimba ambazo sio halali?!Mwanamke haogopi mimba. Kwani ni lazima atapata. Ila anatakiwa aipate kwa halali tu
Hongera dada yangu. Hapa duniani hakuna kitu kinachoumiza km mapenzi. Ni maamuzi mazuri sana tena sana. Ila siku ukiamua kumkabidhi mtu moyo wako. KUWA MAKINI. MUNGU WA MBINGUNI AKUTIE NGUVUHabari zenu.naomba niwashukuru kwa michango yenu wotee. Ambao mlishiriki nami kwa njia moja au nyingine, Kunishauri na kunifariji.
Maamuzi niliyochukua ni kwamba. Nimeamua kuwa single, Na Wala Sihitaji mahusiano na mwanaume yoyote kwa kipindi hiki.bali ntaongeza juhudi zaidi kumwomba MUNGU,
nisije tena dumbukia kwenye mahusiano ambayo Hayana msimamo na malengo.
ANGALIZO[emoji724]
[emoji838]Sihitaji PM ambazo zisizo na maana. Labda kwa ushauri tu na si mengineo.
[emoji120][emoji120].Asanteni.
Asante kwa ushauriSamaki mmoja akioza usitupe wote! Mchomoe kwenye tenga tupa kule wanaobaki kulaaa!!unayachukia mapenzi kwa kutendwa na mwanaume mmoja
Namaanisha kwamba wewe umeandika kua umeamu kua single na hauhitaji mahusiano na mwanaume, nadhani unamaanisha utaishi mwenyewe lakini katika uzi wako kuna sehemu umeandika kwamba unazidisha juhudi kumuomba Mungu ndo nakuuliza unaomba nini Mungu wakati mada yako ni kuolewa it means unamuomba Mungu akupe mume mwema by that fact kumbe hujaamua kua single isipokua unalazimika kua single kwa sababu Mungu hajakupa unayeridhika kua nae.Sijakuelewa
AmeenHongera dada yangu. Hapa duniani hakuna kitu kinachoumiza km mapenzi. Ni maamuzi mazuri sana tena sana. Ila siku ukiamua kumkabidhi mtu moyo wako. KUWA MAKINI. MUNGU WA MBINGUNI AKUTIE NGUVU