Mrejesho: Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

Joined
Jun 1, 2026
Posts
99
Reaction score
189
Wakuu habari zenu.
Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo,
Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana.
Au vipimo vinaweza kusema uongo?
Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo Kuna kama vipele au vidonda viwili japo haviumi?
IMG_20260823_105222_151.jpg
 
View attachment 3655499
After this jiandae kwa KUBWA KULIKO.. kapime miezi mitatu baadae
 
Wakuu habari zenu.
Leo nimeenda hospital kufanya vipimo baada ya kuichapa usiku kuchat Tena kavu kavu siku mbili mfululizo,
Nilijua ni uhakika nitakuwa na Kaswende, lakini majibu yamesema hapana.
Au vipimo vinaweza kusema uongo?
Na vipi mbona mwili unawasha Sana na pia kwenye kichwa Cha uboo Kuna kama vipele au vidonda viwili japo haviumi?
View attachment 3655499
Umekwenda kutibiwa vichochoroni majibu na dawa zinaandikwa kwenye A4.
Nina mashaka na hivyo vipimo na hata huyo alieandika dawa. Afya ni jambo nyeti sana kafanye vipimo sehemu zenye viwango vinavyoeleweka.
 
Sioni kama hili ni tatizo.

pia sikuhizi Test Kits ziko za kila aina.
Hapo wametest magojwa ya Zinaa kwenye test kits na ikaonyesha Non-reactive.

Sasa hata kama Majibu yangeandikwa kwenye printed paper yenye Logo ya Hiyo hosp. Bado test kits wangetumia hizo hizo na majibu yangekuja hayo hayo.

Na hapo kwenye mkojo wala hakuna mbwembwe nyingi.

Yaamini hayo majibu.
 
Afadhali umemjibu wewe
 
Back
Top Bottom