Msaada wa haraka nimepata Gonjwa la Zinaa

chapati mbili na chai

Senior Member
Joined
Jun 1, 2026
Posts
100
Reaction score
190
Baada ya kukaa singo kwa miezi 9 bila kukutana na mwanamke yeyote hatimae wiki 3 zilizopita nikapata mwanamke, ilikuwa siku ya wikend Ijumaa usiku akaja geto, nimekesha napeleka moto kavu kavu, namwaga goli naanzisha lingine.

Tumejifungia ndani mpaka Jumapili jioni ndiyo akaondoka.

Nyege zote za miezi 9 nashukuru ziliisha, nimemwaga uzito wote.

Sasa siku mbili hizi Kuna dalili nimeziona kwenye mwili wangu na nimeangalia ni dalili za kaswende 100% kabisa.

Sasa naombeni madaktari au wenye uzoefu na hili Gonjwa la Zinaa gharama ya kulitibu ikoje 🤔
 
Additional point ndo wewe hapa

Kaswende na HIV ni 💍
 
Attachments

  • downloadfile-20.jpg
    downloadfile-20.jpg
    70.4 KB · Views: 5
Nenda tu Hosp ukapime damu.
Na kama ukiwa nayo basi Upate tiba sahihi.

Kama una mavipele pele Inawezekana pia ikawa sio kaswende ni mchafuko tu wa Damu.
Sio kila mavipele ni Kaswende
 
Baada ya kukaa singo kwa miezi 9 bila kukutana na mwanamke yeyote hatimae wiki 3 zilizopita nikapata mwanamke, ilikuwa siku ya wikend Ijumaa usiku akaja geto, nimekesha napeleka moto kavu kavu, namwaga goli naanzisha lingine.

Tumejifungia ndani mpaka Jumapili jioni ndiyo akaondoka.

Nyege zote za miezi 9 nashukuru ziliisha, nimemwaga uzito wote.

Sasa siku mbili hizi Kuna dalili nimeziona kwenye mwili wangu na nimeangalia ni dalili za kaswende 100% kabisa.

Sasa naombeni madaktari au wenye uzoefu na hili Gonjwa la Zinaa gharama ya kulitibu ikoje 🤔
Hongera sana kwa kupunguza uzito. Hayo mengine ni matokeo tu.
 
Back
Top Bottom