Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,412
- 191,569
Ndio saikolojia ilivyo mama. Nina hakika ulikuwa unampima msimamo wake tu na sio kingine na amefaulu huo mtihani. Sasa umebaki kuduwaa ulidhani ni wa mchezo mchezo huyooo!Hivi kweliee

We hujui tuuu anaringa sana
Kusema ukweli wapo lkn sijapata aliye nivutia, alfu mda mwingi nakuwa busy sana.. Namlilia coz alitokea kuuteka moyo wangu..
Ahsante p kwa kunishauriPole sana mamy!! Natamani kila mmoja awe analeta urejesho... Kutafuta mume huku ni kama bahati na sibu... Kuna kupata na kukosa. Chukulia tu kama experience nyingine katika maisha. Waoaji wachache siku izi... Wengi ni wale waliochoka papuchi za wake zao au wanaotafuta tu pakupitishia usiku...
Usikate tama dear... Muombe Mungu akuoneshe yupi ni sahihi... Usivutiwe na maneno ata kwenye kanga yapo!!!
[emoji4][emoji4][emoji4]Mtumie sms mwambie ushamaliza KUBLIDI
Nadhani mnakumbuka threads zangu zilizopita nilikuwa na tafuta mchumba na nilileta mrejesho nimeshampata.. Anaitwa Isaac...
Basi tulikubaliana na Isaac tuwe wapenzi na vigezo nilivyokuwa navitaka alikuwa navyo basi safari ya mapenzi ikaanza tukawa tunawasiliana fresh mpk tukapanga siku ya kukutana coz mi Niko Moro yeye yupo dar.. Hivyo hivyo tukawa tunawasiliana mpk siku ya kwenda dar ikawadia ila siku hiyo mi kwa Bahati nzuri au mby nikawa nimeingia kwenye Siku zng...
Nikamwambia bby mi ninablidi akanambia poa ukimaliza kublidi njoo,, mi kiukweli sikupenda jibu lake coz nilifikiria lbd kanikubali tu kwasabab ya papuchi.. Basi nikamwambia utakuwa umenipendea papuchi hujanipenda Mimi km mm akanijibu "aaaaaaa" hakuongeza neno wala nini, baada km siku mbili nikamwambiaje basi wewe njoo Moro akanijibu oooh mi siwezi kulala guest nikamuuliza kwann akanijibu basi tu siwezi Alf akatuma tena text nyingine akasema mi bhana sina hela nikamwambia pouwa,, badae nikamwambiaje bhanae mi nimekushidwa akanijibu nashukuru....
Kwahiyo ndio tulipo ishia ila kiukweli nimetokea kumpenda sana tena saana hata nikiona picha yke moyo unaniuma nasema ukweli baada ya yeye kunikubali sina mwanaume mwingine zaidi yke....
Ahsanteni kwa mliokuwa pamoja na Mimi mpk hapa nilipofika.....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji174] [emoji174]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu video yke jmn nimeimix chaaa kanjunju alijua kunipasua mbavu!!![emoji23] [emoji23] [emoji23]Inawezekana ulikuwa unachat na KANJUNJU JOHN wa Yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
![]()
hahahahahhahhaha....nimecheka kama mazuriKwa hiyo ulimpenda mtu sanaaa kwenye social network na mkaachana bila kuonana... ok sawa! Rudisha tangazo la kwanza utafute tena,na hakikisha unaahirisha siku zako wakati wa miadi!
Mumie...unahitaji maneno kama hayo sasa...Huyo Isack hajakupenda wala nini!!Then usiendelee kumpa bichwaHilo jina na unayoandika haviendani kbs
Nadhani mnakumbuka threads zangu zilizopita nilikuwa na tafuta mchumba na nilileta mrejesho nimeshampata.. Anaitwa Isaac...
Basi tulikubaliana na Isaac tuwe wapenzi na vigezo nilivyokuwa navitaka alikuwa navyo basi safari ya mapenzi ikaanza tukawa tunawasiliana fresh mpk tukapanga siku ya kukutana coz mi Niko Moro yeye yupo dar.. Hivyo hivyo tukawa tunawasiliana mpk siku ya kwenda dar ikawadia ila siku hiyo mi kwa Bahati nzuri au mby nikawa nimeingia kwenye Siku zng...
Nikamwambia bby mi ninablidi akanambia poa ukimaliza kublidi njoo,, mi kiukweli sikupenda jibu lake coz nilifikiria lbd kanikubali tu kwasabab ya papuchi.. Basi nikamwambia utakuwa umenipendea papuchi hujanipenda Mimi km mm akanijibu "aaaaaaa" hakuongeza neno wala nini, baada km siku mbili nikamwambiaje basi wewe njoo Moro akanijibu oooh mi siwezi kulala guest nikamuuliza kwann akanijibu basi tu siwezi Alf akatuma tena text nyingine akasema mi bhana sina hela nikamwambia pouwa,, badae nikamwambiaje bhanae mi nimekushidwa akanijibu nashukuru....
Kwahiyo ndio tulipo ishia ila kiukweli nimetokea kumpenda sana tena saana hata nikiona picha yke moyo unaniuma nasema ukweli baada ya yeye kunikubali sina mwanaume mwingine zaidi yke....
Ahsanteni kwa mliokuwa pamoja na Mimi mpk hapa nilipofika.....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji174] [emoji174]
Ukivuka kahama, mbele yakeHivi Ushirombo ndoo wapii ,,,,
Kumbeeeeeeee!!!!Daaa ila anyway ngoja tu nivumilie watakuja wenyewe but mwili wa moto Alf so mnajua hiii miaka yetu ndio tumetoka toka karibu na kubalehe kwahiyo mmh mda wote chupi inalowa
Dyu dyu tamu mama acha mwezio aililie[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Mmmh! Kumbe ndio mana alivyokwambia uende ukamwambia uko kwenye siku zako kumbe ulishajua unachokifuata.
Tafuta cha kufanya usiendekeze mapenzi yapo na yataendelea kuwepo hivyo usiyaharakie.