Mrejesho hatua ya tatu na ya mwisho

Mrejesho hatua ya tatu na ya mwisho

Nadhani mnakumbuka threads zangu zilizopita nilikuwa na tafuta mchumba na nilileta mrejesho nimeshampata.. Anaitwa Isaac...

Basi tulikubaliana na Isaac tuwe wapenzi na vigezo nilivyokuwa navitaka alikuwa navyo basi safari ya mapenzi ikaanza tukawa tunawasiliana fresh mpk tukapanga siku ya kukutana coz mi Niko Moro yeye yupo dar.. Hivyo hivyo tukawa tunawasiliana mpk siku ya kwenda dar ikawadia ila siku hiyo mi kwa Bahati nzuri au mby nikawa nimeingia kwenye Siku zng...

Nikamwambia bby mi ninablidi akanambia poa ukimaliza kublidi njoo,, mi kiukweli sikupenda jibu lake coz nilifikiria lbd kanikubali tu kwasabab ya papuchi.. Basi nikamwambia utakuwa umenipendea papuchi hujanipenda Mimi km mm akanijibu "aaaaaaa" hakuongeza neno wala nini, baada km siku mbili nikamwambiaje basi wewe njoo Moro akanijibu oooh mi siwezi kulala guest nikamuuliza kwann akanijibu basi tu siwezi Alf akatuma tena text nyingine akasema mi bhana sina hela nikamwambia pouwa,, badae nikamwambiaje bhanae mi nimekushidwa akanijibu nashukuru....

Kwahiyo ndio tulipo ishia ila kiukweli nimetokea kumpenda sana tena saana hata nikiona picha yke moyo unaniuma nasema ukweli baada ya yeye kunikubali sina mwanaume mwingine zaidi yke....

Ahsanteni kwa mliokuwa pamoja na Mimi mpk hapa nilipofika.....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji174] [emoji174]
hahahah..poyee mwayego, i hope umejifunza kitu.
 
basi jaribu kutembelea sehemu ambazo kuna aina ha wanaume unaowataka....

kwa mfano leo mimi naenda clouds kupeleka tangazo,hope ntakutana na George Bantu wangu(hahha kidding though)
Daaa ila anyway ngoja tu nivumilie watakuja wenyewe but mwili wa moto Alf so mnajua hiii miaka yetu ndio tumetoka toka karibu na kubalehe kwahiyo mmh mda wote chupi inalowa
 
Daaa ila anyway ngoja tu nivumilie watakuja wenyewe but mwili wa moto Alf so mnajua hiii miaka yetu ndio tumetoka toka karibu na kubalehe kwahiyo mmh mda wote chupi inalowa
we jikande na maji moto...
genye zitakufanya uangukie sehemu ambapo si sahihi bure...
sali Mungu akupe uvumilivu,utayashinda majaribu kipenzi....
 
Daaa ila anyway ngoja tu nivumilie watakuja wenyewe but mwili wa moto Alf so mnajua hiii miaka yetu ndio tumetoka toka karibu na kubalehe kwahiyo mmh mda wote chupi inalowa
Mmmh! Kumbe ndio mana alivyokwambia uende ukamwambia uko kwenye siku zako kumbe ulishajua unachokifuata.

Tafuta cha kufanya usiendekeze mapenzi yapo na yataendelea kuwepo hivyo usiyaharakie.
 
Kusema ukweli wapo lkn sijapata aliye nivutia, alfu mda mwingi nakuwa busy sana.. Namlilia coz alitokea kuuteka moyo wangu..
Wewe mwenyewe pia ulikuwa umejiweka kwenye kuliwa papuchi lako.
Kwanini umwanbie unablidi kabla hujaja Dar?
Ulitakiwa uje Dar na ukishafika ndo umwambie unablid.

Njoo Dar ukiwa unablid unitafute!!
 
Wewe mwenyewe pia ulikuwa umejiweka kwenye kuliwa papuchi lako.
Kwanini umwanbie unablidi kabla hujaja Dar?
Ulitakiwa uje Dar na ukishafika ndo umwambie unablid.

Njoo Dar ukiwa unablid unitafute!!
[emoji23] [emoji23] [emoji85]
 
Mpk anitoke moyoni
Kwanza pole kwa kilichotokea binafsi naona umewahi kuhisi jamaa atakua anataka kufanya mchezo mbaya na wewe kuamua kumtupa kapuni.
Kama jamaa angetaka mchezo mbaya peke yake angejifanya kuvumilia mpaka umalize kubleed kisha mngeamsha upya.

Ila hebu ainisha tena sifa ulizokua unazitaka tangu mwanzo (Napiga jaramba hapa).
 
Hehehe...
Tatizo watu tunasahau kuwa sura na muonekano mtu vinaweza kuwa ni tofauti na roho yake. Yawezekana wewe ulimpenda kwa dhati lkn yeye hajakupenda wala nini, ila tabia za wanaume huwa hatupendi tupitwe na fursa. Una bahati kwamba uliingia period kwa siku husika, vinginevyo wewe ulikua wa kumegwa na kuachwa na kwa jinsi ulivyompenda ungeweza kuachia bila ndom ( peku peku) ungejuuuta!
 
Back
Top Bottom