Mrejesho hatua ya tatu na ya mwisho

Mrejesho hatua ya tatu na ya mwisho

Sikuwahi kuwaza kitu km hicho emmy hata mkinilaumu mnanionea tu maana sijui hata nisemeje moyo unaniuma mfano hamna
Pole mumy pia nikupe siri mdogo wangu jifunze kumuamini mtu taratibu sio unakutana naye unamwamini kwa 100% kwani kwa miaka ya sasa wavulana walio wengi wanapenda wanawake kwa ajili ya starehe tu ni wachache wenye kuwaza mapenzi yawe ya kuendelea hadi kifikia kufunga ndoa.Pia usiwe mwepesi kuwakubali hawa wanaojiita masharo baro watakuumiza kila siku.
 
Hivi wewe mtu anatumia Jina fake unampenda mpaka unapoteza network kabisaa wakati huo huo yeye anataka akukule tuu, tena shukuru hajakukula katoe na sadaka kabisaa
 
[emoji38] [emoji38] [emoji38] kwani Isaac ni sharo baro??? Mbn si sharobaro
 
Hivi wewe mtu anatumia Jina fake unampenda mpaka unapoteza network kabisaa wakati huo huo yeye anataka akukule tuu, tena shukuru hajakukula katoe na sadaka kabisaa
Hilo jina na unayoandika haviendani kbs
 
Teh teh teh teeeeh!!!
Upweke ni ugonjwa mbaya sana.
 
Hapo Umenichanganya saana ila twende tu maana sina nia mbaya.

Kwangu naona kwa umri wako mdogo unatafuta mpenzi kwa kutumia nguvu saana. Ilihali watakuja tu.

Lakini kama umenyea kambi. Yaani mtaani umeharibu kutongozwa tegemea asilimia 0.003.

Lakini pia kama hauvutii pia utachelewa kutongozwa.
Kwani hauoni fursa au?
 
Pole mumy pia nikupe siri mdogo wangu jifunze kumuamini mtu taratibu sio unakutana naye unamwamini kwa 100% kwani kwa miaka ya sasa wavulana walio wengi wanapenda wanawake kwa ajili ya starehe tu ni wachache wenye kuwaza mapenzi yawe ya kuendelea hadi kifikia kufunga ndoa.Pia usiwe mwepesi kuwakubali hawa wanaojiita masharo baro watakuumiza kila siku.
Mi naomba niulize katika vigezo vya nyie dada zetu kuwapenda wanaume picha ni moja ya kigezo hicho??? Hujawahi onana naye je kama katuma picha ya kaka yake!
 
Tulikuwa tunawasiliana tunatumiana picha za hapa na pale kwajinsi tulivyokuwa tukichat MTU akiona unaweza sema tuna mahusiano kribia mwaka in short alinivutia na alikuwa anafanya nizidi kumpenda pamoja na alikuwa mbali
Sawa, ngoja nami nianze kukutumia[emoji7]
 
Mi naomba niulize katika vigezo vya nyie dada zetu kuwapenda wanaume picha ni moja ya kigezo hicho??? Hujawahi onana naye je kama katuma picha ya kaka yake!
Nauhakika 100% ni yeye na usitake kujua nimepata wapi huo uhakika
 
sasa huo uchoyo kama ulikuwa unampenda na hukutaka kumpoteza ungekuja dar kumpa hivyohivyo damu kitu gani mngefanya hata sakafuni kisha mnaogaa mambo kwishiney.
 
Kwa kumuona tu najua huyu ni sharo au lah
Hapana usharobaro huwezi kuujua kwa mavazi pekee kwani hata tabia, matendo na hata maongezi unaweza ukajua huyu ni sharobaro na inahitaji utulivu wa hali ya juu kuwatambua.
 
Back
Top Bottom