Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,425
Nadhani mnakumbuka threads zangu zilizopita nilikuwa na tafuta mchumba na nilileta mrejesho nimeshampata.. Anaitwa Isaac...
Basi tulikubaliana na Isaac tuwe wapenzi na vigezo nilivyokuwa navitaka alikuwa navyo basi safari ya mapenzi ikaanza tukawa tunawasiliana fresh mpk tukapanga siku ya kukutana coz mi Niko Moro yeye yupo dar.. Hivyo hivyo tukawa tunawasiliana mpk siku ya kwenda dar ikawadia ila siku hiyo mi kwa Bahati nzuri au mby nikawa nimeingia kwenye Siku zng...
Nikamwambia bby mi ninablidi akanambia poa ukimaliza kublidi njoo,, mi kiukweli sikupenda jibu lake coz nilifikiria lbd kanikubali tu kwasabab ya papuchi.. Basi nikamwambia utakuwa umenipendea papuchi hujanipenda Mimi km mm akanijibu "aaaaaaa" hakuongeza neno wala nini, baada km siku mbili nikamwambiaje basi wewe njoo Moro akanijibu oooh mi siwezi kulala guest nikamuuliza kwann akanijibu basi tu siwezi Alf akatuma tena text nyingine akasema mi bhana sina hela nikamwambia pouwa,, badae nikamwambiaje bhanae mi nimekushidwa akanijibu nashukuru....
Kwahiyo ndio tulipo ishia ila kiukweli nimetokea kumpenda sana tena saana hata nikiona picha yke moyo unaniuma nasema ukweli baada ya yeye kunikubali sina mwanaume mwingine zaidi yke....
Ahsanteni kwa mliokuwa pamoja na Mimi mpk hapa nilipofika.....