Mrejesho hatua ya tatu na ya mwisho

Mrejesho hatua ya tatu na ya mwisho

Unajua kuna kitu nilikuwa na mchunguza na nilikigundua
Ukimsoma mwanamme bila kumpa mambo yetu yale huwezi kujua uhalisia wake, matokeo ya uchunguzi wako yatakuwa si sahihi. Lakini ungekuwa umewahi kumpa hata moro angekuja
 
Aisee jioni imekua nzuri sana kwa hii comedy hahahaa kwanza pole KAMA NI KWELI ULIKUWA SERIOUS IN LOVE WITH HIM pili siyaamini kabisaaa mahusiano ya kukutania mitandaoni.

Huyo jamaa hakukupenda wewe kama wewe alichokupendea ni kukuonja kisha kila mtu na njia yake.
 
Nadhani mnakumbuka threads zangu zilizopita nilikuwa na tafuta mchumba na nilileta mrejesho nimeshampata.. Anaitwa Isaac...

Basi tulikubaliana na Isaac tuwe wapenzi na vigezo nilivyokuwa navitaka alikuwa navyo basi safari ya mapenzi ikaanza tukawa tunawasiliana fresh mpk tukapanga siku ya kukutana coz mi Niko Moro yeye yupo dar.. Hivyo hivyo tukawa tunawasiliana mpk siku ya kwenda dar ikawadia ila siku hiyo mi kwa Bahati nzuri au mby nikawa nimeingia kwenye Siku zng...

Nikamwambia bby mi ninablidi akanambia poa ukimaliza kublidi njoo,, mi kiukweli sikupenda jibu lake coz nilifikiria lbd kanikubali tu kwasabab ya papuchi.. Basi nikamwambia utakuwa umenipendea papuchi hujanipenda Mimi km mm akanijibu "aaaaaaa" hakuongeza neno wala nini, baada km siku mbili nikamwambiaje basi wewe njoo Moro akanijibu oooh mi siwezi kulala guest nikamuuliza kwann akanijibu basi tu siwezi Alf akatuma tena text nyingine akasema mi bhana sina hela nikamwambia pouwa,, badae nikamwambiaje bhanae mi nimekushidwa akanijibu nashukuru....

Kwahiyo ndio tulipo ishia ila kiukweli nimetokea kumpenda sana tena saana hata nikiona picha yke moyo unaniuma nasema ukweli baada ya yeye kunikubali sina mwanaume mwingine zaidi yke....

Ahsanteni kwa mliokuwa pamoja na Mimi mpk hapa nilipofika.....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji174] [emoji174]
Nenda kwa lemtumboz yuko single istoshe ni billionea hana shida ya nauli au kulala gest,wewe ukienda dar unafikia 5 stars hotel nae akija moro anafikia mahoteli ya maana
 
Aisee jioni imekua nzuri sana kwa hii comedy hahahaa kwanza pole KAMA NI KWELI ULIKUWA SERIOUS IN LOVE WITH HIM pili siyaamini kabisaaa mahusiano ya kukutania mitandaoni.

Huyo jamaa hakukupenda wewe kama wewe alichokupendea ni kukuonja kisha kila mtu na njia yake.
Inawezekana numbisa lkn unajua ninacho shangaa mm ni nn?? Wakati natafuta alikuwa ananisumbua kweli mda wote anapiga simu sometimes nikawa na mpotezea lkn badae ktk mchujo nikaona yeye ndiyo yuko serious saaaana kuliko wengine ila anyway km hakunipenda sawa ukweli anaujua yeye na mungu wake
 
Wewe mimi ndiyo maana nimekwambia tuwe marafiki
 
Nadhani mnakumbuka threads zangu zilizopita nilikuwa na tafuta mchumba na nilileta mrejesho nimeshampata.. Anaitwa Isaac...

Basi tulikubaliana na Isaac tuwe wapenzi na vigezo nilivyokuwa navitaka alikuwa navyo basi safari ya mapenzi ikaanza tukawa tunawasiliana fresh mpk tukapanga siku ya kukutana coz mi Niko Moro yeye yupo dar.. Hivyo hivyo tukawa tunawasiliana mpk siku ya kwenda dar ikawadia ila siku hiyo mi kwa Bahati nzuri au mby nikawa nimeingia kwenye Siku zng...

Nikamwambia bby mi ninablidi akanambia poa ukimaliza kublidi njoo,, mi kiukweli sikupenda jibu lake coz nilifikiria lbd kanikubali tu kwasabab ya papuchi.. Basi nikamwambia utakuwa umenipendea papuchi hujanipenda Mimi km mm akanijibu "aaaaaaa" hakuongeza neno wala nini, baada km siku mbili nikamwambiaje basi wewe njoo Moro akanijibu oooh mi siwezi kulala guest nikamuuliza kwann akanijibu basi tu siwezi Alf akatuma tena text nyingine akasema mi bhana sina hela nikamwambia pouwa,, badae nikamwambiaje bhanae mi nimekushidwa akanijibu nashukuru....

Kwahiyo ndio tulipo ishia ila kiukweli nimetokea kumpenda sana tena saana hata nikiona picha yke moyo unaniuma nasema ukweli baada ya yeye kunikubali sina mwanaume mwingine zaidi yke....

Ahsanteni kwa mliokuwa pamoja na Mimi mpk hapa nilipofika.....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji174] [emoji174]

Kwa hiyo ulimpenda mtu sanaaa kwenye social network na mkaachana bila kuonana... ok sawa! Rudisha tangazo la kwanza utafute tena,na hakikisha unaahirisha siku zako wakati wa miadi!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimeishiwa maneno.

Ngoja niende kwa kina Nape huko
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Shemeji huu upendo wa agape tunapendana tu.

Msalimie sana nape maana mie nimeamua kuemagine naishi nchi tofauti na hii yenu ili kujipa amani ya moyo.
 
Daaaaah pole saaaana ila umefanya la maana kuleta mrejesho maana nilikwambia mkiachana uniambie na kweli umesema pole mdada

Tatizo bleed daaaaah pole sana
 
Hapo Umenichanganya saana ila twende tu maana sina nia mbaya.

Kwangu naona kwa umri wako mdogo unatafuta mpenzi kwa kutumia nguvu saana. Ilihali watakuja tu.

Lakini kama umenyea kambi. Yaani mtaani umeharibu kutongozwa tegemea asilimia 0.003.

Lakini pia kama hauvutii pia utachelewa kutongozwa.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sentensi ya mwisho
 
Back
Top Bottom