Mrejesho hatua ya tatu na ya mwisho

Mrejesho hatua ya tatu na ya mwisho

Mingi mingi
Nitajie Bs kama hutojali Njoo PM
Nadhani mnakumbuka threads zangu zilizopita nilikuwa na tafuta mchumba na nilileta mrejesho nimeshampata.. Anaitwa Isaac...

Basi tulikubaliana na Isaac tuwe wapenzi na vigezo nilivyokuwa navitaka alikuwa navyo basi safari ya mapenzi ikaanza tukawa tunawasiliana fresh mpk tukapanga siku ya kukutana coz mi Niko Moro yeye yupo dar.. Hivyo hivyo tukawa tunawasiliana mpk siku ya kwenda dar ikawadia ila siku hiyo mi kwa Bahati nzuri au mby nikawa nimeingia kwenye Siku zng...

Nikamwambia bby mi ninablidi akanambia poa ukimaliza kublidi njoo,, mi kiukweli sikupenda jibu lake coz nilifikiria lbd kanikubali tu kwasabab ya papuchi.. Basi nikamwambia utakuwa umenipendea papuchi hujanipenda Mimi km mm akanijibu "aaaaaaa" hakuongeza neno wala nini, baada km siku mbili nikamwambiaje basi wewe njoo Moro akanijibu oooh mi siwezi kulala guest nikamuuliza kwann akanijibu basi tu siwezi Alf akatuma tena text nyingine akasema mi bhana sina hela nikamwambia pouwa,, badae nikamwambiaje bhanae mi nimekushidwa akanijibu nashukuru....

Kwahiyo ndio tulipo ishia ila kiukweli nimetokea kumpenda sana tena saana hata nikiona picha yke moyo unaniuma nasema ukweli baada ya yeye kunikubali sina mwanaume mwingine zaidi yke....

Ahsanteni kwa mliokuwa pamoja na Mimi mpk hapa nilipofika.....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji174] [emoji174]
 
Kiukweli hakuna asiyependa vizuri. Sipendi watoto wazuri napenda mtoto mzuri. Umenielewa sijui

[emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12][emoji12]nimekuelewa nadhani
 
Nadhani mnakumbuka threads zangu zilizopita nilikuwa na tafuta mchumba na nilileta mrejesho nimeshampata.. Anaitwa Isaac...

Basi tulikubaliana na Isaac tuwe wapenzi na vigezo nilivyokuwa navitaka alikuwa navyo basi safari ya mapenzi ikaanza tukawa tunawasiliana fresh mpk tukapanga siku ya kukutana coz mi Niko Moro yeye yupo dar.. Hivyo hivyo tukawa tunawasiliana mpk siku ya kwenda dar ikawadia ila siku hiyo mi kwa Bahati nzuri au mby nikawa nimeingia kwenye Siku zng...

Nikamwambia bby mi ninablidi akanambia poa ukimaliza kublidi njoo,, mi kiukweli sikupenda jibu lake coz nilifikiria lbd kanikubali tu kwasabab ya papuchi.. Basi nikamwambia utakuwa umenipendea papuchi hujanipenda Mimi km mm akanijibu "aaaaaaa" hakuongeza neno wala nini, baada km siku mbili nikamwambiaje basi wewe njoo Moro akanijibu oooh mi siwezi kulala guest nikamuuliza kwann akanijibu basi tu siwezi Alf akatuma tena text nyingine akasema mi bhana sina hela nikamwambia pouwa,, badae nikamwambiaje bhanae mi nimekushidwa akanijibu nashukuru....

Kwahiyo ndio tulipo ishia ila kiukweli nimetokea kumpenda sana tena saana hata nikiona picha yke moyo unaniuma nasema ukweli baada ya yeye kunikubali sina mwanaume mwingine zaidi yke....

Ahsanteni kwa mliokuwa pamoja na Mimi mpk hapa nilipofika.....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji174] [emoji174]
Huyo wa kwenye avatar ndo wewe? Tuanzie hapo kwanza mkuu
 
Mmmmmhhhh asante[emoji17] [emoji17]

Pole usihuzunike wanaume wako kibao uyo isac hana cha tofaut na abdallah juma rafiki yake bwakila time your time utapata tuu anayekufaa

Alafu wewe sio mwalimu kweli labda wa sec au primary
 
Kusema ukweli wapo lkn sijapata aliye nivutia, alfu mda mwingi nakuwa busy sana.. Namlilia coz alitokea kuuteka moyo wangu..
Pole Sana mpenz ushauri wangu futa vitu vyake vyote then jitahidi kumtoa in ur mind kidogo kidogo utazoea then u can start new life nautampata mwenye nia ya kweli nawewe why uzidi kumng'ang'ania mtu ambaye amesha kuonyesha kua Anakutamani tu Hana real love nawewe
 
unawezaje kumlilia mwanaume ambaye hujui utamu wake? mei tukishaonjana ndo nakolea hivi hivi hata awe wa namna gani siwez muwazia
 
Pole Sana mpenz ushauri wangu futa vitu vyake vyote then jitahidi kumtoa in ur mind kidogo kidogo utazoea then u can start new life nautampata mwenye nia ya kweli nawewe why uzidi kumng'ang'ania mtu ambaye amesha kuonyesha kua Anakutamani tu Hana real love nawewe
Ahsante mpnz nashukuru
 
Pole usihuzunike wanaume wako kibao uyo isac hana cha tofaut na abdallah juma rafiki yake bwakila time your time utapata tuu anayekufaa

Alafu wewe sio mwalimu kweli labda wa sec au primary
Hapana si mwalim why umesema hvy
 
Nadhani mnakumbuka threads zangu zilizopita nilikuwa na tafuta mchumba na nilileta mrejesho nimeshampata.. Anaitwa Isaac...

Basi tulikubaliana na Isaac tuwe wapenzi na vigezo nilivyokuwa navitaka alikuwa navyo basi safari ya mapenzi ikaanza tukawa tunawasiliana fresh mpk tukapanga siku ya kukutana coz mi Niko Moro yeye yupo dar.. Hivyo hivyo tukawa tunawasiliana mpk siku ya kwenda dar ikawadia ila siku hiyo mi kwa Bahati nzuri au mby nikawa nimeingia kwenye Siku zng...

Nikamwambia bby mi ninablidi akanambia poa ukimaliza kublidi njoo,, mi kiukweli sikupenda jibu lake coz nilifikiria lbd kanikubali tu kwasabab ya papuchi.. Basi nikamwambia utakuwa umenipendea papuchi hujanipenda Mimi km mm akanijibu "aaaaaaa" hakuongeza neno wala nini, baada km siku mbili nikamwambiaje basi wewe njoo Moro akanijibu oooh mi siwezi kulala guest nikamuuliza kwann akanijibu basi tu siwezi Alf akatuma tena text nyingine akasema mi bhana sina hela nikamwambia pouwa,, badae nikamwambiaje bhanae mi nimekushidwa akanijibu nashukuru....

Kwahiyo ndio tulipo ishia ila kiukweli nimetokea kumpenda sana tena saana hata nikiona picha yke moyo unaniuma nasema ukweli baada ya yeye kunikubali sina mwanaume mwingine zaidi yke....

Ahsanteni kwa mliokuwa pamoja na Mimi mpk hapa nilipofika.....[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji174] [emoji174]

Inawezekana ulikuwa unachat na KANJUNJU JOHN wa Yanga [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ffbcaf0c8e16fe78da8ea259c01ec636.jpg
 
Pole sana mamy!! Natamani kila mmoja awe analeta urejesho... Kutafuta mume huku ni kama bahati na sibu... Kuna kupata na kukosa. Chukulia tu kama experience nyingine katika maisha. Waoaji wachache siku izi... Wengi ni wale waliochoka papuchi za wake zao au wanaotafuta tu pakupitishia usiku...
Usikate tama dear... Muombe Mungu akuoneshe yupi ni sahihi... Usivutiwe na maneno ata kwenye kanga yapo!!!
 
Back
Top Bottom