Teh...B . Upo jirani![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sentensi ya mwisho
khaaa jovitha had password ushampa? kumuamini gani huko mtu?Yeye ndiyo aliiweka mwenyewe password anazo siku akijisikia kuitoa ataitoa
Wewe umeshamuomba msamaha yule wa kwako uliemsaliti??[emoji56][emoji56][emoji56]yani hata hajakutia unamlilia hivi???...
pole sana....
unajisikia hivyo kwa sababu ni mpweke bado,ila ukishapata mwingine utamsahau tu eventually.....
halafu hawa wa mitandaoni em achana nao,kwani huko kitaa hamna wanaokutongoza....
Teh...B . Upo jirani!
Karibu nipo...kitambo saana hatujagumiana.Nipo sana mkuu.sema napita kimyaaaaa nikiipenda na like nikiipenda zaid naqoute
Karibu nipo...kitambo saana hatujagumiana.
Una miaka mingapi kwani?? Me hata post Yako cjaiona ya kutafta mchumba... Wengine Tupo bhana kua na amaniMpk anitoke moyoni
B, serious !Hahahaaaa kiaina mkuu.sema nilikuwa niko buzy kidogo nakusanya virago naelekea somalia.tangu juzi yake,juzi,jana na leo upepo wa kuishi tz umenikalia kushoto kbsa
Unashangaa nini wewe mtoto.?[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji844]
B, serious !
Unashangaa nini wewe mtoto.?
Hahaha[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6].home sweet what!...kidding
Kiukweli hakuna asiyependa vizuri. Sipendi watoto wazuri napenda mtoto mzuri. Umenielewa sijuiJombaa halafu inaelekea unapenda watoto wazuri eheee.maana kila nikimuona rubani nakukumbuka kiaina
Hahahahaaa babuuuu