Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,081
- 126,208
Nadhani kila mtu ana uelewa wa aina yake. Wapo ambao kwa picha tu wanaamini 100% ila kuna wengine hawezi kukupa moyo wake mpaka akuone na akusome japo kwa muda mfupi ndio aanze kujiweka kidogo kidogoMi naomba niulize katika vigezo vya nyie dada zetu kuwapenda wanaume picha ni moja ya kigezo hicho??? Hujawahi onana naye je kama katuma picha ya kaka yake!