Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,084
- 126,222
Hahahaa! Si unajua wadogo zetu hawa inabidi kuwashauri japo kuwa walio wengi huwa yanaingia na kutoka sikio la pili.Ushauri mzuri kwa mhusika ila mbaya kwa watafunaji
Hahahaa! Si unajua wadogo zetu hawa inabidi kuwashauri japo kuwa walio wengi huwa yanaingia na kutoka sikio la pili.Ushauri mzuri kwa mhusika ila mbaya kwa watafunaji
Sasa wewe mweyewe si ndio ulianza ooh mimi sijui nini sasa unadhani yeye ataelewaje ndio maana akakujibu vile. Ila pia labda yeye hana nia saana. Utakuja mpata mtakaopendana. Lakini sasa pia ujue namna ya kuongea yaani hata hamajawahi onanan ooh mimi sijui nafanya nini usimput-off umpendaye mapema hebu tafuta maneno ya kuongea maana ulivyomwambia hivyo ukampeleka kwenye muelekeo mwingineee!Kusema ukweli wapo lkn sijapata aliye nivutia, alfu mda mwingi nakuwa busy sana.. Namlilia coz alitokea kuuteka moyo wangu..
Hahahaha itafute hiyo thread utaipata then uisomeKwanza pole kwa kilichotokea binafsi naona umewahi kuhisi jamaa atakua anataka kufanya mchezo mbaya na wewe kuamua kumtupa kapuni.
Kama jamaa angetaka mchezo mbaya peke yake angejifanya kuvumilia mpaka umalize kubleed kisha mngeamsha upya.
Ila hebu ainisha tena sifa ulizokua unazitaka tangu mwanzo (Napiga jaramba hapa).
Hivi kwelieeSasa wewe mweyewe si ndio ulianza ooh mimi sijui nini sasa unadhani yeye ataelewaje ndio maana akakujibu vile. Ila pia labda yeye hana nia saana. Utakuja mpata mtakaopendana. Lakini sasa pia ujue namna ya kuongea yaani hata hamajawahi onanan ooh mimi sijui nafanya nini usimput-off umpendaye mapema hebu tafuta maneno ya kuongea maana ulivyomwambia hivyo ukampeleka kwenye muelekeo mwingineee!
wakati unaandika hiyo sentensi ulikuwa na ktk mood gani?? hasa hapo kwenye purpleyani hata hajakutia unamlilia hivi???...
pole sana....
unajisikia hivyo kwa sababu ni mpweke bado,ila ukishapata mwingine utamsahau tu eventually.....
halafu hawa wa mitandaoni em achana nao,kwani huko kitaa hamna wanaokutongoza....
Ama kweli bado unamkubali....Ndiyo dada
Nimeiona.Hahahaha itafute hiyo thread utaipata then uisome
Duh kwahiyo ndo mtama kwenye kuku wengi? Nimekuzidi ila sijafikia umri ulioutaka.Kwani unaumri gan
Bado anatamba kwenye avatarKwann
Kuna maswali ujue yakiwa pm itakua vyema, au unaonaje?28 bado hujafika
Joana unahaki ya kusema hvy mamaangu.. Yeye mwenywe ndiye aliye iweka akijisikia pia kuitoa aitoeWewe ni king'ang'anizi
Yani umeachwa alafu bado jnapambana na avatar za watu
Kwani una kasoro ipi hadi umng'ang'anie mtu ambaye hujawahi hata kumuona?
Em mtoe hapo unampa bichwa huyo Isaac