DOKEZO Mradi wa SGR Mwanza Ndio Basi tena

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Huu mradi umefikia wapi sahivi ???
Mwanza utafika kweli

Ova
 
Una elimu gani au uelewa katika masuala ya project management, financial management na labour laws?
Hawa nyumbu wapumbavu sana, wanadhani hii ni kazi ya milele, muda sio sio mrefu wataanza kuulizia kiinua mgongo kwenye kazi ya contract
 
Mradi wa SGR Isaka to Mwanza tayari uko kwenye phase ya mwisho mwisho na wiki iliyopita wamelipa wananchi sehemu ambayo mfumo wa umeme utapita.

Hivyo kusema mradi umesimama ni uongo bali wanafanyakazi waliokuwa wanafanyakazi ambazo tayari zimekamilika lazima mikataba yao isimame wale ambao ni wataalamu wamehamishiwa kwenye mradi wa Tabora to Kigoma.

Hivyo siyo kweli kwamba mradi umesimama bali unaendelea kwenye phase ya umeme na pia kumalizia sehemu zilizobaki lakini issue ya tuta ambalo ndio huajiri watu wengi karibia limeshamalizika sehemu zote sasa hivi wanaweka reli tu na umeme.
 
Kenya sasa wanamalizia reli kutoka Mombasa port to Uganda ambayo itaingia mpaka Rwanda, na mzigo kuutoa Mombasa ni siku mbili huku Dar port ni siku saba,tumepoteza soko la watu milioni 50 kwa kuongozwa na wajinga, hiyo line ingeajiri millions of people na mabilioni ya kodi na biashara, pumbaf sana 👎
 
Some you lose and some you get , ndiyo business norma hizo hakuna haja ya kujiita pumbavu. Ngoja wamalize kujenga hiyo reli tuone kama watakuwa na competitive edge against Dar port
 
Mkuu tumezungukwa na nchi nane zisizokuwa na Bandari hivyo usijali.

Kwanza ni uongo kusema kuwa eti kuna SGR imekamilika kati ya Mombasa to Uganda and Rwanda.

Sisi ujenzi wa SGR to Mwanza uko kwenye final stage sehemu nyingi Tuta walishakamilisha sasa wanaweka reli na umeme ambayo si kazi kubwa sana. Kujenga Tuta ndio kazi kubwa sana inachukuwa muda mrefu.
 
Sisi wabongo huwa tunapenda habari mbaya tu.
 
Ukishaona comment ina mijitusi ndani yake ujue CDM hao washafurq
 
No one said SGR imekamilika, wanamalizia section inayoingia Uganda sasa na ujenzi umeanza, tunaelekea kupoteza Uganda, Rwanda,Eastern Congo na Burundi, soko la zaidi ya watu milioni 100,hata kwa sasa Kenya wana soko la zaidi ya 60% hizo nchi, wakisha control hilo soko itakuwa ngumu sana kulipata tena hata SGR ikikamilika, tumefanya makosa makubwa sana kuachia hii route ya kutuletea mabilioni kwenye uchumi wetu, anyway still naamini tutaweza kupata soko bado lakini itakuwa ngumu sana
 
Negativity will kill you bro!! Hebu zipeni huru bongo zenu zichakate mambo kiuhalisia
 
Negativity will kill you bro!! Hebu zipeni huru bongo zenu zichakate mambo kiuhalisia
Negative or not, attack the point sio aliyeitoa, Mwenyekiti mwanzilishi wa chama lako pendwa aliwafundisha kushindana kwa hoja, mmefeli mmebaki kuiba kura tuu na kutumia polisi kuteka na kuua msiokubaliana nao, mmeharibu na kurudisha nchi nyuma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…