sgr mwanza

The Tanzania Standard Gauge Railway (SGR) is a railway system under construction and partially in operation, serving Tanzania and linking it to the neighbouring countries of Rwanda, Uganda and Burundi, and through these to the Democratic Republic of the Congo, as part of the East African Railway Master Plan. The new, electrified standard gauge railway is intended to replace the outdated metre-gauge railway system.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Ma-HR katika Mradi wa SGR Mwanza – Isaka wachunguzwe. Wanajineemesha kwa kufukuza watu kazi

    Wakandarasi wanaofanya kazi SGR tuna kero moja kwanza mshahara wa Serikali ilipopandisha mwanzo kabla hawajapandisha ilikuwa kwa siku ni shilingi 17,200 kwa madereva na ma operator, ila kwa malabour ilikuwa 16,200 baada ya serikali kupandisha wameweka level sio dereva, sio operator wote ni...
  2. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi wa SGR Mwanza Ndio Basi tena

    Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa SGR Mwanza to Dodoma uliishia wapi?

    Hivi ujenzi wa SGR MWANZA TO DODOMA uliishia wapi maana Kimya kimekuwa kingi hatusikii majigambo ya miradi yote inaendelea. Pia soma ~ Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR
  4. upupu255

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kadogoa: SGR ikikamilika Mwanza kuwa kitovu cha biashara

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC), Masanja Kadogosa amesema Reli ya Kisasa ya Umeme (SGR) ikikamilika Mkoa wa Mwanza utakuwa kitovu cha biashara kanda ya ziwa. Kadogosa ameyasema hayo usiku Jumanne Machi 18, 2025 katika hafla iliyofanyika jijini humo kuangazia miaka minne ya...
  5. JOHNGERVAS

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi TRC Masanja Kadogosa: Watanzania wasiwe na wasiwasi kwamba Treni itazimika kwa sababu ya umeme. Haiwezi tokea!

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Masanja Kadogosa, amesema wananchi waondoe hofu kuhusu tatizo la kukatika kwa umeme katika safari za treni inayotumia umeme akisema treni hiyo ina mkondo wa umeme unaojitegemea. Hayo yamesemwa leo Februari 26, 2024 na Mkurugenzi huyo alipokuwa...
Back
Top Bottom