Burundi, Rwanda hawawezi pitisha mizigo yao Kenya gharama ya kisafirisha itakuwa kubwa. Pia tayari SGR inajengwa toka Kigoma kwenda Burundi na project ilishasainiwa tayari.No one said SGR imekamilika, wanamalizia section inayoingia Uganda sasa na ujenzi umeanza, tunaelekea kupoteza Uganda, Rwanda,Eastern Congo na Burundi, soko la zaidi ya watu milioni 100,hata kwa sasa Kenya wana soko la zaidi ya 60% hizo nchi, wakisha control hilo soko itakuwa ngumu sana kulipata tena hata SGR ikikamilika, tumefanya makosa makubwa sana kuachia hii route ya kutuletea mabilioni kwenye uchumi wetu, anyway still naamini tutaweza kupata soko bado lakini itakuwa ngumu sana