Ndio ujue ni propaganda 😁Kwani hizo trioni 4 haziwezi kuubusti au ndiyo hela anayo Abdul na mama yake
🤣🤣🤣Hahaha sema Kadogosa amecheza Karata zake Vzuri.
Kwamba hili zogo lisije likamfia yeye 😁
Hawa nyumbu wapumbavu sana, wanadhani hii ni kazi ya milele, muda sio sio mrefu wataanza kuulizia kiinua mgongo kwenye kazi ya contractUna elimu gani au uelewa katika masuala ya project management, financial management na labour laws?
Mradi wa SGR Isaka to Mwanza tayari uko kwenye phase ya mwisho mwisho na wiki iliyopita wamelipa wananchi sehemu ambayo mfumo wa umeme utapita.Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi umesimama na maisha yamekuwa magumu kwa wafanyakazi hawakutegemea kilichotokea.
Mabeberu wanatuonea wivu wamegoma kuendelea na ujenzi, #MsiogopeTumeshinda
Pia soma:
~ Mbona ujenzi wa SGR hapa jiji la Mwanza na kwenda Isaka umekwama?
~ Serikali yaanza kulipa Tsh. 3.66 Bilioni kwa wananchi 2,471 wa mikoa ya Simiyu, Mwanza, Shinyanga na Tabora wanaopisha SGR
Some you lose and some you get , ndiyo business norma hizo hakuna haja ya kujiita pumbavu. Ngoja wamalize kujenga hiyo reli tuone kama watakuwa na competitive edge against Dar portKenya sasa wanamalizia reli kutoka Mombasa port to Uganda ambayo itaingia mpaka Rwanda, na mzigo kuutoa Mombasa ni siku mbili huku Dar port ni siku saba,tumepoteza soko la watu milioni 50 kwa kuongozwa na wajinga, hiyo line ingeajiri millions of people na mabilioni ya kodi na biashara, pumbaf sana 👎
Mkuu tumezungukwa na nchi nane zisizokuwa na Bandari hivyo usijali.Kenya sasa wanamalizia reli kutoka Mombasa port to Uganda ambayo itaingia mpaka Rwanda, na mzigo kuutoa Mombasa ni siku mbili huku Dar port ni siku saba,tumepoteza soko la watu milioni 50 kwa kuongozwa na wajinga, hiyo line ingeajiri millions of people na mabilioni ya kodi na biashara, pumbaf sana 👎
Sisi wabongo huwa tunapenda habari mbaya tu.Mradi wa SGR Isaka to Mwanza tayari uko kwenye phase ya mwisho mwisho na wiki iliyopita wamelipa wananchi sehemu ambayo mfumo wa umeme utapita.
Hivyo kusema mradi umesimama ni uongo bali wanafanyakazi waliokuwa wanafanyakazi ambazo tayari zimekamilika lazima mikataba yao isimame wale ambao ni wataalamu wamehamishiwa kwenye mradi wa Tabora to Kigoma.
Hivyo siyo kweli kwamba mradi umesimama bali unaendelea kwenye phase ya umeme na pia kumalizia sehemu zilizobaki lakini issue ya tuta ambalo ndio huajiri watu wengi karibia limeshamalizika sehemu zote sasa hivi wanaweka reli tu na umeme.
Ukishaona comment ina mijitusi ndani yake ujue CDM hao washafurqMkundu wewe mnaharibu wenyewe halafu mnasingizia upinzani kwani upinzani wamewahi kuingia mkataba wa ujenzi wa SGR?mnalea wenyewe mifumo ya hovyo ya wizi na ubadhirifu halafu mkiambiwa mnakimbili ooh! Upinzani nyokooooo, upinzanibwanakusanya kodi na kupanga budget?hakuna wajingabtena zamanhizi kubalini dunia imesha badilika watu wana uelewa hizi sio zama za TANU za kudanganya watu.
Serikali inachekea majizi yanaiba mabilioni inakimbizia nje nchi inakosa maendeleo halafu mnajifanya hamjui
No one said SGR imekamilika, wanamalizia section inayoingia Uganda sasa na ujenzi umeanza, tunaelekea kupoteza Uganda, Rwanda,Eastern Congo na Burundi, soko la zaidi ya watu milioni 100,hata kwa sasa Kenya wana soko la zaidi ya 60% hizo nchi, wakisha control hilo soko itakuwa ngumu sana kulipata tena hata SGR ikikamilika, tumefanya makosa makubwa sana kuachia hii route ya kutuletea mabilioni kwenye uchumi wetu, anyway still naamini tutaweza kupata soko bado lakini itakuwa ngumu sanaMkuu tumezungukwa na nchi nane zisizokuwa na Bandari hivyo usijali.
Kwanza ni uongo kusema kuwa eti kuna SGR imekamilika kati ya Mombasa to Uganda and Rwanda.
Sisi ujenzi wa SGR to Mwanza uko kwenye final stage sehemu nyingi Tuta walishakamilisha sasa wanaweka reli na umeme ambayo si kazi kubwa sana. Kujenga Tuta ndio kazi kubwa sana inachukuwa muda mrefu.
Negativity will kill you bro!! Hebu zipeni huru bongo zenu zichakate mambo kiuhalisiaNo one said SGR imekamilika, wanamalizia section inayoingia Uganda sasa na ujenzi umeanza, tunaelekea kupoteza Uganda, Rwanda,Eastern Congo na Burundi, soko la zaidi ya watu milioni 100,hata kwa sasa Kenya wana soko la zaidi ya 60% hizo nchi, wakisha control hilo soko itakuwa ngumu sana kulipata tena hata SGR ikikamilika, tumefanya makosa makubwa sana kuachia hii route ya kutuletea mabilioni kwenye uchumi wetu, anyway still naamini tutaweza kupata soko bado lakini itakuwa ngumu sana
Sasa huo uchambuzi una "negativity" gani hapo. Ukweli kwako ni jambo hasi?Negativity will kill you bro!! Hebu zipeni huru bongo zenu zichakate mambo kiuhalisia
Negative or not, attack the point sio aliyeitoa, Mwenyekiti mwanzilishi wa chama lako pendwa aliwafundisha kushindana kwa hoja, mmefeli mmebaki kuiba kura tuu na kutumia polisi kuteka na kuua msiokubaliana nao, mmeharibu na kurudisha nchi nyuma sanaNegativity will kill you bro!! Hebu zipeni huru bongo zenu zichakate mambo kiuhalisia