The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 4,683
- 9,988
Hahaha sema Kadogosa amecheza Karata zake Vzuri.
Kwamba hili zogo lisije likamfia yeye š
Kwamba hili zogo lisije likamfia yeye š
Una elimu gani au uelewa katika masuala ya project management, financial management na labour laws?Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi umesimama na maisha yamekuwa magumu kwa wafanyakazi hawakutegemea kilichotokea.
Mabeberu wanatuonea wivu wamegoma kuendelea na ujenzi, #MsiogopeTumeshinda
Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi umesimama na maisha yamekuwa magumu kwa wafanyakazi hawakutegemea kilichotokea.
Mabeberu wanatuonea wivu wamegoma kuendelea na ujenzi, #MsiogopeTumeshinda
Sunk costItamalizwaje miradi ya kisiasa na sifa?
Hawana pesa za kumaliza labda wauuze kwa WachinaSunk cost
Hii ni habari ya kusikitisha; lakini tuvumilie kamaitachangia na kusaidia kuleta ukombozi wa nchi yetu toka mikononi mwa watu waovu hawa.Kampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi umesimama na maisha yamekuwa magumu kwa wafanyakazi hawakutegemea kilichotokea.
Mabeberu wanatuonea wivu wamegoma kuendelea na ujenzi, #MsiogopeTumeshinda
Una elimu gani au uelewa katika masuala ya project management, financial management na labour laws?
Siyo ndugu yako kibarua ameathirika kwa kuwa laid off nawe unakuja hapa kufungua thread
It can be worse than that!Ila watu wakiamua kutukana watu na kuwaona kenge wana vibweka sana.Bodaboda UAE?ššššš
That's beside the point...kipande cha Mwanza Isaka naona kama ujenzi wake ulilazimishwa tu kwasababu za kisiasa.
..sikuona mantiki ya ujenzi katika kipande hicho wakati vipande vya Makutopora -- Tabora -- Nzega ujenzi wake hata haujaanza.
So sadKampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi.
Nikweli ilimlipa pesa yote kwa awamu hiyo, sasa hiyo pesa imeisha, pesa ya awamu inayofuata imechelewa.Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote.
Yes ni umesimama kwa muda tuu, pesa itatoka, wafanyakazi wataitwa kuendelea na kazi, mradi utaendelea.Baada uchaguzi kuisha tu mradi umesimama
Wapinzani wa Serikali ni mabwege sana. Kila wakati masikio yao yako wazi kusikia ni nini kimekosewa Serikalini ili wapate cha kuandikaSo sad
Nikweli ilimlipa pesa yote kwa awamu hiyo, sasa hiyo pesa imeisha, pesa ya awamu inayofuata imechelewa.
Yes ni umesimama kwa muda tuu, pesa itatoka, wafanyakazi wataitwa kuendelea na kazi, mradi utaendelea.
Kitendo cha watu kutishia kutaka kuandamana tena, kuka disturbed the equilibrium of budget flows, kukatokea budget misappropriation, fedha za miradi zikatumika kuimarisha ulinzi, kama vile.
Sasa nchi imetulia, hivyo msiwe na wasiwasi, mambo yatarudi back to normal.
P
Lucas mshamba hawezi kukuelewaNchi inakoelekea sio kuzuri kabisa, hata hao wanawapiga risasi watanganyika wacheleweshewa Mishahara au kulipwa kwa mafungu,
Muda ni mwalimu mzuri sana, na hii haina cha CCM wala CHADEMA hiki kikombe tutakinywea wote, hakina dini huyu mgalatia wala mvaa kobasi,
Mkundu wewe mnaharibu wenyewe halafu mnasingizia upinzani kwani upinzani wamewahi kuingia mkataba wa ujenzi wa SGR?mnalea wenyewe mifumo ya hovyo ya wizi na ubadhirifu halafu mkiambiwa mnakimbili ooh! Upinzani nyokooooo, upinzanibwanakusanya kodi na kupanga budget?hakuna wajingabtena zamanhizi kubalini dunia imesha badilika watu wana uelewa hizi sio zama za TANU za kudanganya watu.Wapinzani wa Serikali ni mabwege sana. Kila wakati masikio yao yako wazi kusikia ni nini kimekosewa Serikalini ili wapate cha kuandika
Wapinzani wa Serikali ni mabwege sana. Kila wakati masikio yao yako wazi kusikia ni nini kimekosewa Serikalini ili wapate cha kuandika
Ngoja nimuongezee tusi jingine kinemb cha mamake huyu chawa wa kahaba chura kiziwi..Mkundu wewe mnaharibu wenyewe halafu mnasingizia upinzani kwani upinzani wamewahi kuingia mkataba wa ujenzi wa SGR?mnalea wenyewe mifumo ya hovyo ya wizi na ubadhirifu halafu mkiambiwa mnakimbili ooh! Upinzani nyokooooo, upinzanibwanakusanya kodi na kupanga budget?hakuna wajingabtena zamanhizi kubalini dunia imesha badilika watu wana uelewa hizi sio zama za TANU za kudanganya watu.
Serikali inachekea majizi yanaiba mabilioni inakimbizia nje nchi inakosa maendeleo halafu mnajifanya hamjui
Itakuwa kujenga na AbdulKampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi umesimama na maisha yamekuwa magumu kwa wafanyakazi hawakutegemea kilichotokea.
Mabeberu wanatuonea wivu wamegoma kuendelea na ujenzi, #MsiogopeTumeshinda
Hata kulipa madeni na mishahara hazitoshi, pesa za SGR karibu zote ni mikopo na misaada sio TRA, beberu kakataKwani hizo trioni 4 haziwezi kuubusti au ndiyo hela anayo Abdul na mama yake