Dalton Elijah
JF-Expert Member
- Jul 19, 2022
- 925
- 1,954
Nchi inakoelekea sio kuzuri kabisa, hata hao wanawapiga risasi watanganyika wacheleweshewa Mishahara au kulipwa kwa mafungu,Bado tutaona mengi yani mpaka mtasema.Tukisema hapa JF wanakimbilia kufuta nyuzi.
Mmeanzisha jingine baada ya safari za sgr kurejeaKampuni ya CCECC inayohusika na ujenzi wa reli ya SGR ya Mwanza Isaka imewapa termination letter wafanyakazi wote waliokuwa katika mradi kutokana kukosa fedha ya kuendeshea mradi. Wakati wa kipindi cha kampeni tuliambiwa serikali imemlipa mkandarasi pesa yote. Baada uchaguzi kuisha tu mradi umesimama na maisha yamekuwa magumu kwa wafanyakazi hawakutegemea kilichotokea.
Mabeberu wanatuonea wivu wamegoma kuendelea na ujenzi, #MsiogopeTumeshinda
Na huyo kadogosa ndio tapeli kubwa Kila siku yeye ni kuandaaa Misa za kumuomnea mama YaoHii ni hasara kwa taifa, Miradi iliyokwisha anza imaliziwe kwa namna yoyote.
Kuna siku tutajadili kwanini Kadogosa amekimbilia bungeni⦠Unadhani ni pesa za ubunge anataka? Mtu mwenyewe apartments kadhaa uturuki na kwingineko.
Itamalizwaje miradi ya kisiasa na sifa?Hii ni hasara kwa taifa, Miradi iliyokwisha anza imaliziwe kwa namna yoyote.
Kuna siku tutajadili kwanini Kadogosa amekimbilia bungeni⦠Unadhani ni pesa za ubunge anataka? Mtu mwenyewe apartments kadhaa uturuki na kwingineko.
SawaMradi wa SGR tabora Kigoma upo speed kwasasa wapo KALIUA Tabora
Hakuna hata mia.....kutoka popote...acha nchi ijifieeee wamechezeaa mipesaaa na kuua watuu wapuuzii sanaaaSerikali watatoa wapi pesa tena? Wametumia pesa nyingi Sana kwenye campaign pamoja na pesa za uchaguzi kumbuka miaka yote pesa za uchaguzi zinatoka nje.
CCM walitumia pesa Kwa fujo wakijua mwezi February watapokea bilioni 600 kutoka ulaya Ila Kwa bahati mbaya misaada imekatwa kwasababu ya mauaji , hakuna nchi ya Africa imepiga hatua bila wazungu
Mmeanzisha jingine baada ya safari za sgr kurejea
...ya kupokea barua za termination!Kazi iendeleee
Ila watu wakiamua kutukana watu na kuwaona kenge wana vibweka sana.Bodaboda UAE?πππππkuna ajira zimetoka kuendesha bodaboda uae kwa mujibu wa serikali sikivu ...