Mradi wa bandari ya Bagamoyo nani mkweli?

Wekeni hapa huo mkataba mtupe miaka mitano tuupitie neno kwa neno, nukta kwa nukta, koma kwa koma, hatuwaamini tena na haya mamikataba ya kijizi, afterall hatuna haraka sana na hiyo bandari kwani ya Dar bado haijazidiwa..
 
Back
Top Bottom