Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

Kuna watu hobbie yao ni kuhonga cm tena galaxy note III, au Dell strike 5 upo tiali?

Mmmmmmmmmmh! aisee sipo tayari maana mume wangu mkali huyo lazima ataniuliza nimetoa wapi ntashindwa jibu nibaki natoa macho kama nimebanwa na mlango
 
Mhhh huo wa kuwafundisha watu watoe kodi naona ni msala tuu
haya bana Mamndenyi mwambie chama afanye kazi yake kwa makini maana walipa kodi naona ingeanzia kwa viongozi wa chama chake ambao wanapokea pesa nyingi sana kwa kusema tuu ni commission na sio mshahara so hawakatwi kodi

Mamndenyi na chama hatukwepi kodi sisi tunalipa kodi ipaswavyo na kama tunakunywa tusker au castle lite jua na kodi inakatwa huko huko

Mkuu Mr Rocky
Mpaka TRA kuleta huo mtandao mpya wa kulipa kodi ni wazi CCM inataka kila mtu alipe kodi; nyie ndio mliokuwa mkilaumu TRA haikusanyi kodi; TRA imesikia kilio chenu sasa kazi kwenu walipaji.
 
Last edited by a moderator:
Mmmmmmmmmmh! aisee sipo tayari maana mume wangu mkali huyo lazima ataniuliza nimetoa wapi ntashindwa jibu nibaki natoa macho kama nimebanwa na mlango
Speak it out babe,u already know how I love u
 
Hongera Mr Rocky.. hili ni fanikio.. Uendelee kutupia majamboz humu..

Asante sana mkuu sosoliso nitafanya hivyo

Kabisa, salute mkuu Mr Rocky
donlucchese asante sana mkuu

Mkuu Mr Rocky
Mpaka TRA kuleta huo mtandao mpya wa kulipa kodi ni wazi CCM inataka kila mtu alipe kodi; nyie ndio mliokuwa mkilaumu TRA haikusanyi kodi; TRA imesikia kilio chenu sasa kazi kwenu walipaji.

chama walipaswa walijue hilo mapema na kuanza kuwakamata viongozi wote na mishahara na posho zao zikatwe kodi hapo tutaenda sawa ila hii ya kuja kupambana na wamachinga na wenye vibiashara vya duka kwa ajili ya kulipa kodi wakati kuna watu wanapata kipato kikubwa hawalipi kodi ni kosa kubwa sana
Hongera sana mkuu
Asante sana mkuu Nambe

Hongera madhee
Asante madheee Mtoto halali na hela sijui mtoto wako atalala lini na hela

Hongera sana...
Asante mkuu tedo pamoja sana
 
Last edited by a moderator:
Hongera brother, keep it rolling mate!!

Mie naelekea rep power 100 in three months, te te tee

Hivi kuna cheti ama aje watu8?

hehehe hakuna cheti mkuu...rep power unapewa manually na friends au self generated na JF.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom