Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

Nimekumisi mume wangu umepotelea wapi? halafu nimepoteza simu no communication jamani dah!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Pole mke wangu kupoteza simu,mi natamanije nisikie sauti yako,nipo A-town,nimekutafutaje hupatikani,basi nikadhani umenipa namba ya gari
 
Pole mke wangu kupoteza simu,mi natamanije nisikie sauti yako,nipo A-town,nimekutafutaje hupatikani,basi nikadhani umenipa namba ya gari

Yaani ninauzuni hapa we acha tu sina tena simu dah!!!!!! nimebaki mpweke hapa
 
Yaani ninauzuni hapa we acha tu sina tena simu dah!!!!!! nimebaki mpweke hapa
Pole babito wangu,mi nakupendaje jamani,kila saa nakuwaza,nilidhani mapenzi yameisha kumbe bado unanikumbuka lol!
 
Nimemwambia nampa kanokia kamoja ka tochi
eti hataki anataka tachi ksrin, hivyo tumeanzisha sredi ya
mchango wa tach skrini, kule mmu, embu ni pm mchango wako!

weka Bluetooth on nikurushie mchango wangu Mwanyasi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom