Huwa inatolewaje??? hilo ndio swali langu.......
nafikiri nimekujibu na kwa sasa utafanya yako charminglady
Last edited by a moderator:
Huwa inatolewaje??? hilo ndio swali langu.......
nafikiri nimekujibu na kwa sasa utafanya yako charminglady
Asante nimeweza na nimefurahi!!!
My pleasure
Missing u more binamu
Greetings to my wifi
Mkuu 24hrs mbona nishakurudishia aise au unanionea tuu mkuu kwa kuwa mimi mnyonge aise
:faint2::faint2::faint2::faint2::faint2::faint2:
Hongera sana mkuu
Hiyo bia unidai kesho kutwa,nitakutafuta kwa simu,halafu huyo mke wangu Ladymasa itabidi nimpe talaka,maana msg za simu hajibu na simu haipatikani,hi ndo imeshaingia utata
Teh si nataka nikuzidi,reputation sishangai ila hapo kwenye R.P umejitahidi..nidai bia 3 kesho kutwa nikiwa A-town