Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

ye amtafute Tundu lissu awe lawyer wake......maana hao wawili ni hatareee.........
nitamsisitiza abide terms and condition tulizoweka

Ajue kabisa hao ni hatari mbaya na akicheza atalipa mabilioni hapa na nitajikuta ghafla nakuwa bilionea

Ugomvi utazuka pale tu utakapo itumia na siku moja ambayo nimeshaiwahi.
Hiyo siku moja bado iiko kwenye dispute haijawa na uhakika itaenda kwa nani
namtafuta arbitrator ambaye atasaidia kuweka mambo sawa kuwa hiyo siku moja tuwe tunabadilishana kila mwezi mwezi huu kwako na unaofuata ni wangu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom