karibu sana mkuu SnowBall
Yaani ulivyowataja hapa wamesikia na ngoja niwaite tena Arushaone, Erickb52, Preta, PakaJimmy, na wengineo wote na Blaki Womani na Lily Flower kuna mgeni huku anakuja mkaribisheni aise
Lily Flower asante sana aise.
Nishamwambia atoe taarifa mapema asivamie tuu mji wa watuatawakuta wenyeji wote wamesafiri
nshakusoma,pamoja sana mkuu Rocky...nelly nely nini tena mkuu
Arushaone hatumtishi bana tunamwambia ukweli halisiMsimtishe mgeni bhana! Wenyeji tumejaa tele kwa tele.
nelly nely asante sana mkuu pamoja sananshakusoma,pamoja sana mkuu Rocky...
nelly nely asante sana mkuu pamoja sana
mwekundu asante sana mkuu Heaven on Earth anatisha mbaya kabisa aise
Jerrymsigwa tumuulize watu8 kama kuna cheti aise ila asante sana mkuu
Mwanyasi namshangaa Arushaone anasema hakuna wazee wakati kuna Dark City na Asprin na Bishanga na mzee Mtambuzi aise
Asante sana mkuu
charminglady asante sana nafurahi kwa card na naamini yametoka moyoni mwako
Asante sana
Rocky city inasemaje
Ladymasa huyu jamaa 24hrs inabidi atafutiwe RB kabisa aseme yuko wapi na kwa nini kapotea hivyo aise
Mr Rocky mbona wanisusa hivyo? nimekumisi jamani mume wangu 24hrs hivi yupo dunia hiii kweli? kwa mtindo huu hata atukumbukani aisee ntajivua gamba mda si mrefu'hajui hata watoto wala nini naomba salamu umfikishie,
When you are in Love you can't fall asleep because reality is better than your dreams