Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

shem umemuona huyo tu au amekupa ..............
kwani wengine huwajawaona walioongoza kwa marep na mapost kibao.
dunia ya hapa ni ya kisisiemu tu

Sina budi kukupongeza sana kwa achievement yako hapa JF.

Wadada na wakaka (hakuna wazee humu) tumpongezeni mwenzetu huyu kwa kufunika kabisa humu JF kwa kufikia Reputations Power zaidi ya laki saba 700,000. na posts 11,111.

Kwa kweli anastahili pongezi....Ni mwenzetu.....Ni mzalendo hasa wa nchi hii ya CHIT-CHAT.

Mr Rocky hoyeeee!!!!!!!!!! Chit chat hoyeeeeee!!!!!!!!
 
shem umemuona huyo tu au amekupa ..............
kwani wengine huwajawaona walioongoza kwa marep na mapost kibao.
dunia ya hapa ni ya kisisiemu tu

ladyfurahia unamuonea wivu mpaka binamu yako
Dah haya bana
Ngoja na wewe nitakuanzishia uzi wa kukupongeza
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom