Mwanyasi bora Filipo mara elfu maana Erickb52 ni balaa aise kiwatengu aangalie tuu wanamtwara wasimrudishe kwa miguu kutoka huko mpaka kwao maana wakiona tuu anachukua gesi yao itakuwa balaa
Msalimie sana Mamndenyi mwambie afikishe salam pia kwa chama
Last edited by a moderator: