Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

Mr Rocky: UNATISHA MADHEE!!!!!

Hongera brother, keep it rolling mate!!

Mie naelekea rep power 100 in three months, te te tee

Hivi kuna cheti ama aje watu8?
 
Last edited by a moderator:
109209.gif


Mr Rocky

Wajameni ila kuuliza sio ujinga... Mie sikuzaliwa na JF, Hivi rep power zinatolewaje???

Arushaone, Madame B, King'asti na wengine????
 
Last edited by a moderator:
Hongera mkuu!!Heaven on earth naye anatisha ana 500000
mwekundu asante sana mkuu Heaven on Earth anatisha mbaya kabisa aise

Hongera brother, keep it rolling mate!!

Mie naelekea rep power 100 in three months, te te tee

Hivi kuna cheti ama aje watu8?
Jerrymsigwa tumuulize watu8 kama kuna cheti aise ila asante sana mkuu

Hongera Mr Rocky,
wewe kweli mzalendo wa JF! Big up!
Halafu we Arushaone hujui kama kuna wazee humu?
Kwani Dark City na Asprin vijana?
Mwanyasi namshangaa Arushaone anasema hakuna wazee wakati kuna Dark City na Asprin na Bishanga na mzee Mtambuzi aise
Asante sana mkuu

109209.gif


Mr Rocky

Wajameni ila kuuliza sio ujinga... Mie sikuzaliwa na JF, Hivi rep power zinatolewaje???

Arushaone, Madame B, King'asti na wengine????
charminglady asante sana nafurahi kwa card na naamini yametoka moyoni mwako
Asante sana
Rocky city inasemaje

Hahahahahahahahaah! unamadhihara wewe mimi mwenyewe sielewi kanisusa sana siku hizi sijui mmemficha wapi huyo
Ladymasa huyu jamaa 24hrs inabidi atafutiwe RB kabisa aseme yuko wapi na kwa nini kapotea hivyo aise
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana my cousin, kweli unatisha kaka!
Asante sana binamu yangu Lady doctor
halafu nakumiss wewe

Binamu yangu Mr Rocky, kwanza nikupongeze Kisha nikutakie usiku mwema.
Nitupiemo na mimi basi ki-rep.
Madame B nitafanya hivyo soon aise na wewe tena binamu yangu siwezi kukuangusha
Asante sana

kaka hongera!!

hivi kumbe home ni hungumalwa?

aisee nishapita sana huko nanunua nunua mpunga!!

aisee msimu ukishawasili wa mavuno nistue! teh teh!

Hahahahah mkuu Life Goes On asante sana mkuu
Nitakushtua mkuu wangu usiwe na shaka

Binamu nyama ya hamu. Muache kakangu!
Kaka hongera sana.
King'asti mwambie Erickb52 bana ana wivu kama nini
Asante sana dear
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom