Hii inatuumiza sana wananchi yaan target unaiona halafu unafumba macho ndo ulenge!!!!!????
Na akikugundua kuwa umekuja kulalama huku then ndo atakudharau mara mia zaidi ila ungemchana live na akajua ni wewe basi mngeheshimiana kibubu bubu
Anaitwa Juliana Utamwa....dadadekiii
nina akaunti pia NMB na Akiba ! ni kweli wanajitahidi na ndio maana sijasema ni Benki yote ya CRDB, nimemsema kwakua haniridhishi , ananifanya nikifika kwake nijione nakutana na kikwazo fulani, Mbona yule mate wake ambaye ni chotara wa kiume hana longolongo ?
inawezekana hujawahi kuhitaji msaada unapokwama toka kwake.
Leo mchana huu nitapita pale kama nikilipwa hundi , nitaona kama anaanza kujirekebisha na ninauhakika atanitambua na atanishindwa kujizuia kuniambia kwanini nimeandika barua hii ya wazi
Yes, thats is not goodooo. Maana wapo wadada wawili pale wote wanapokea cheque na jamaa mmoja muarabu, kuna dogo mwingine amekuja juzi juzi hata hajaanza kusaini yeye anapokea tu. Hivyo sio vizuri kutaja jina moja kwa moja kabla mtoa mada mwenye hajachunguza jina lake. Mbona ukitaka kumjua jina ni haraka tu.....Ohhh Noooo!...usingemtaja jina bana! [she's innocent until proven guilty!]
Hizi vibes saa ingine,... Take it easy mtoa hoja, wewe unamsoma ndivyo sivyo body language yake, naye kama binadamu is doing the same.
Mchukuliane tu.
hii ni sawa na barua ya wazi, vitengo vyao vya habari kwa umma vinasoma hii mitandao, ujumbe utawafikia sawia na hatua kuchukuliwa.
ninawaomba wafanya udadisi wao, wataupata ukweli.
na kama dada atasoma ujumbe huu bila shaka nikifika pale atanitambua vyema, maana jana tu ametoka kunipasha vidonge vyangu
Anaitwa Juliana Utamwa....dadadekiii
Si ungeenda kwa branch manager tu na kumueleza hili
Umechagua njia ndefu,ngumu na isiyo na uhakika katika kuondoa udhia huu
Yaani by now angeshaitwa na kuonywa
Si ungeenda kwa branch manager tu na kumueleza hili
Umechagua njia ndefu,ngumu na isiyo na uhakika katika kuondoa udhia huu
Yaani by now angeshaitwa na kuonywa
hii ni sawa na barua ya wazi, vitengo vyao vya habari kwa umma vinasoma hii mitandao, ujumbe utawafikia sawia na hatua kuchukuliwa.
ninawaomba wafanya udadisi wao, wataupata ukweli.
na kama dada atasoma ujumbe huu bila shaka nikifika pale atanitambua vyema, maana jana tu ametoka kunipasha vidonge vyangu
Branch Manager wengi si msaada.Mimi imetokea NMB tawi la bukoba kidogo nirushe ngumi pale customer service jinsi vijana walivyo na dharau (NMB bukoba kuna vijana wana dharau sana wateja kwa vile wengi wanatokea vijijini hivyo wanaona benki kama msaada au wanakupa huduma ya bure).Hata ukienda kupeleka malalamiko mtu anakusikiliza body language inakuambia kabisa ni kama unamsumbua.
Tukubali huduma kwa wateja Tanzania ni tatizo na ili tujifunze acha watu wa nje waje watuchangamshe.
Mtazamo, na wewe unaruhusu mtu anakuletea dharau, mimi huwa naanzisha lecture kwa sauti kubwa sana mpaka wanaipata fresh
labda anatembea na boss ndio maana ana nyodo
mjinga mkubwa
Anaitwa Juliana Utamwa....dadadekiii