Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,216
- 3,126
Duh makubwa haya, madogo yana nafuu/Sijui unaongea kuhusu dada mweupi yupi. Lakini yupo dada mweupe mmoja pale ana dharau sana,hamchangamkii mtu yoyote,mpaka amuone Idi Azan.
Duh makubwa haya, madogo yana nafuu/Sijui unaongea kuhusu dada mweupi yupi. Lakini yupo dada mweupe mmoja pale ana dharau sana,hamchangamkii mtu yoyote,mpaka amuone Idi Azan.
Tafsiri yangu kama 'kiungo mkabaji' huyi shori alikua anataka umdinye sasa wewe unakuja kumfungulia uzi JF, sasa hapo inaleta maana? sidhani/nimekuwa mteja wa kudumu wa CRDB kwa kipindi cha mwaka wa Tano sasa, tangu nimerejea nyumbani Tanzania karibu miezi 3 sasa kuna kazi nafanya ambayo malipo yake ni kwa hundi, sasa kila ninapoenda kujiwekea akiba kwenye akaunti yangu pale CRDB TAWI LA Holland hakika huwa nakwazika kutokana na majibu ya kejeli, masimango na dharau za huyo binti bahati mbaya sijajua jina lake.
wajihi wake ni Dada Mweupe, anavaa hereni ndefu~ndefu, ana cheni za dhahabu shingoni na mikononi.
wakati najiandaa kuhamia Azikiwe Branch kwa huduma zangu utawala lazima ujue swala hili kinaga ubaga.
Tanzania kwa ujumla wake tuna tatizo kubwa sana kwenye Huduma kwa wateja, ni kila mahali, Nenda Hotelini, Madukani hali ni hiyo hiyo,
Mfano: Unaweza ingia Dukani ukashangaa unahudumia na mtu aliye weka headphone masikioni, anakula mziki huku anakuhudumia,
Mtazamo, na wewe unaruhusu mtu anakuletea dharau, mimi huwa naanzisha lecture kwa sauti kubwa sana mpaka wanaipata fresh
Hata hapa kafanya action maana kama ukienda kwa manager hakuna kitu sasa bora amalizie hukuhuku ili na sisi tukienda huko Holland Branch tukimuona tu huyo dada tunamwambia dada eeeeee wewe kila mtu anakusema kama unaona huwezi basi niambie nisepe kwingine usiniletee longo longo
Mie nilipiga simu huduma kwa wateja mtandao flani mdada akajitambulisha mara mbili nikamwambia nakusikia, akaanza mbona huongei kwa kupanic nikamwambia mbona nimeongea akaanza kupandisha mie nikamjibu simple tu hizo ndio changamoto za kazi relax akaja juu na kujifanya nikusaidie nini nikamwambia kwaheri sihitaji tena msaada wako
aagh! yule? nani hii..? thubutuu!!! kwani meneja haogopi kufukuzwa au kuhamishwa pale??? ni chakula ya bosi wake ile....wacha kabisa!..Tena siku nyingine ukimzingua sana atakuchapa hata kibao,we endelea tu....
kama boss wake anafika mtaa huu, ataifanyia kazi; hata hivyo siku nyingine jaribu kumwona next level manager wake na ikiwezekana ujaze kabisa zile complaint survey form form zao,
yaweza kuwa pengine umri kwamba ataacha atakapokua
Sijui unaongea kuhusu dada mweupi yupi. Lakini yupo dada mweupe mmoja pale ana dharau sana,hamchangamkii mtu yoyote,mpaka amuone Idi Azan.
nimekuwa mteja wa kudumu wa CRDB kwa kipindi cha mwaka wa Tano sasa, tangu nimerejea nyumbani Tanzania karibu miezi 3 sasa kuna kazi nafanya ambayo malipo yake ni kwa hundi, sasa kila ninapoenda kujiwekea akiba kwenye akaunti yangu pale CRDB TAWI LA Holland hakika huwa nakwazika kutokana na majibu ya kejeli, masimango na dharau za huyo binti bahati mbaya sijajua jina lake, wajihi wake ni Dada Mweupe, anavaa hereni ndefu~ndefu, ana cheni za dhahabu shingoni na mikononi. wakati najiandaa kuhamia Azikiwe Branch kwa huduma zangu utawala lazima ujue swala hili kinaga ubaga.