Makaro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 615
- 136
Nguvumali,
Una hoja tena nzuri tu, ila njia uliotumia siyo yenyewe ya kuweza kutatua tatizo lako na kwa wengine waliopatwa na watakao patwa na kasia kama yako. Ungeweza onana na viongozi wake kama ulivyo fanya kwenye tatizo lako na kumsemia ili ajirekeshe na tuendelee kupata huduma bora. Hapa kila mmoja atasema lake lakini ukweli utabaki palepale. Tuache kulalamika tufanye action.