Mpira ni nini? Kama ni pesa, mbona Marekani wanazo na hawajawahi kutwaa kombe la dunia? Kama ni vipaji, mbona vimejaa Afrika na hatufanyi maajabu?

Mpira si pesa wala kipaji.
Mpira ni vitu viwili
1.Mpira ni kitu(Hollow au solid) kilichotengenezwa kwa ajili ya kudunda,kupigwa,kimichezo au kupitisha liquid kama maji au hewa.

2.Mpira ni mti fulani ambao hutoa utomvu ambao ukiauka hutengeneza Dutu kinamo
 
timu kupata pesa kwenye mpira sio lazima ichukue makombe,mashabiki,jezi,kuuza wachezaji,ni vyanzo vya pesa katika timu za mpira duniani
 
Utamaduni ..!
Ndio, utamaduni jamii hiyo haiwezi kufanya kitu ambacho hawana mazoea nacho sana .
China kwa sasa wana invert soka nchini kwao kwa kizazi cha sasa ili next generation ikute huo utamaduni wa soka.

Kama tu ilivyo sisi watanzania na cricket haziivi kabisa..
Itachukua muda Ku invert mchezo huo (cricket) nchini kama tukitaka.

Kuhusu vipaji afrika ni kweli vipo vingi.
Tatizo ni ngozi yetu nyeusi.
Ina matatizo sana kuanzia ukuaji wa kiakili na ubadilikaji wa maisha kutoka ngazi moja kwenda nyingine
 
Marekani mpira wa miguu sio kipaumbele chao..

Wana michezo waliyoikuta ambayo ni kama traditions yao.. basketball na american football kwao ndio michezo inayopendwa kwao..

Hii inasababisha best athletes wa nchi ku focus na hiyo michezo inayopendwa na inalipa badala ya kucheza soka.. jaribu kuwaza mtu kama lebron angekuwa beki ingekuaje?

Mpira wa miguu ni mchezo wa wanawake marekani kama ilivyo rede Tanzania... kila mtoto wa kike marekani utotoni lazima acheze soka mtaani na wenzake ama shuleni... hii imesababisha wanawake waujue sana mpira na ndio maana kombe la dunia la wanawake marekani anatawala kila siku
 
Mpira wetu hauna akili kivipi mzee baba? Unaweza kufafanua vizuri zaidi mkuu?
Watu bado wanacheza mpira usio na malengo, chenga nyingi, striker anataka kuwa na mbwembwe akiwa na kipa yaani atataka kupiga chenga hata kipa. uchawi wa kuua vipaji vya wachezaji wa ukweli na kuwaacha wasanii wacheze matokeo yake tunabaki kuwa kicheko tu. Angalia Simba na Yanga, very useless.....eti mchezaji anastaafu soka kuanzia miaka 25 mpaka 28 wakati umri huu ndiyo yuko kwenye peak. Yaani uchawi ukimwishia tu mwilini naye anastaafu soka at a younger age.
 
Watu bado wanacheza mpira usio na malengo, chenga nyingi, striker anataka kuwa na mbwembwe akiwa na kipa yaani atataka kupiga chenga hata kipa. uchawi wa kuua vipaji vya wachezaji wa ukweli na kuwaacha wasanii wacheze matokeo yake tunabaki kuwa kicheko tu.
Mkuu, mbona Messi niliwahi kuona clip yake moja alipiga chenga kuanzia katikati ya uwanja mabeki wote hadi kipa golini?...
 
Marekani wanamichezo yao wanayoipenda na kwavile pesa wanayo unaona wanatusua kwenye mipira yao, mfano mpira wa kikapu,
 
Back
Top Bottom