Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha

Siku zikaenda, siku moja tukiwa faragha tukawa tunapiga stories za hapa na pale nikamgusia kabla yangu ni nani alikuwa naye kwenye
Mnapenda kuoa wanawake wa barabarani sana,mwanamke wa barabarani ni kupiga nakutembea siyo wakuoa jitu hujui kwao wanatabia gani unakimbilia kuangalia sura na vikalio
 
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha
Duuh demu ana matusi kichizi kwamba utakula kinyesi chako na mkojo!!?
usirudie kuwachokonoa kwa SMS watakubagaza..
ww ungejiongeza tu
 
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha
Mwenzio nikiwa sina hela huwa sijishughulishi na hao viumbe nakuwa kama sina macho, tafuta pesa kijana.
 
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha

Siku zikaenda, siku moja tukiwa faragha tukawa tunapiga stories za hapa na pale nikamgusia kabla yangu ni nani alikuwa naye kwenye
Hapo inaonesha kua mwanawake wengi ambao hawajiingizii kipato ndio walivyo
Huyo hakuitaji pesa nyingi huyo alihitaji matunzo ndo maana kakuomba ela mara mbili hukumpa ndo akaamua kujiingiza huko ili apate matunzo angekua na hela za kujikimu na yeye asingekengeuka kiasi hicho.
Mwisho usichoke kutafuta mapenzi ya dhati na kutafuta pesa.
FUNDISHO: Najua humu Kuna baba na wana watoto wa kike jaribuni kumtengenezea kipato na kujitegemea apo ndo tutaokoa hilo janga la wanetu kufuata matunzo kwa mwanaume kwa gia ya mapenzi ya dhati... #
 
Mkuu ukimaliza kuongea haya yote, jiandae tu kumuhudumia mpenzi au mke wako.

Hilo ndio kubwa ninalokushauri zaidi ya hapo USIOE WALA USIWE NA MPENZI.

Kuoa tunaoa ila kwa mfumo wa david beckham na jayz ama mtoto wa kimei kumuoa mtoto wa victoria fuel mzee matemba... kama nina hela siwez oa mwanamke asiye na kitu... mwanamke anaomba mpaka pedi huku sio kilema...

Wanawake mpaka vilema wanafanya kazi.. wanaendesha sana bajaj town.. sasa yeye binti mzima wa afya anataka ahudumiwe mpaka pedi
 
Huwezi kutenganisha mapenzi na pesa hivi ni vitu muhimu tunavyo vihitaji kwa pamoja katika maisha yetu.Binafsi sioni sababu ya kumuacha nimpendaye kwa sababu ya pesa.
Huoni sababu ila njaa huitaki!?😅 Jus kiddin!

Kimsingi tofauti ya mapenzi ya kibongo na ulaya ipo hapo tu...Wazungu wengi ni waaminifu kwenye mapenzi yani mkipendana they love you for who you are. Sio kwa sababu unaweza mfanyia kitu flani sababu una pesa!

Motive behind ni kuwa they believe in themselves na wanajua pesa haipatikani kwa njia ya ku engage kwenye mapenzi bali kufanya kazi kwa bidii! Hiyo ndio inafanya uraisi hata mtoto wa kizungu aweze kulipa bill mgahawani au mkitoka out
 
Kuoa tunaoa ila kwa mfumo wa david beckham na jayz ama mtoto wa kimei kumuoa mtoto wa victoria fuel mzee matemba... kama nina hela siwez oa mwanamke asiye na kitu... mwanamke anaomba mpaka pedi huku sio kilema...

Wanawake mpaka vilema wanafanya kazi.. wanaendesha sana bajaj town.. sasa yeye binti mzima wa afya anataka ahudumiwe mpaka pedi
Ni ngumu sana kudeal na hawa vilema wa akili
 
Mkuu kama huna pesa hata uingie chumvin kwa kutumia pua hakueewi kabisa
Hahahahahhaha😅😅😅 tatizo pesa ndio mlango wa burudani zote!

Yani ukiwaza pesa waza chumba kilichojaa yote upendayo ma rolce royce,range rover,pisi kali, mi mansion na kadhalika ila sasa funguo yake ni pesa tu!

Kuichonga hio funguo ndio kupitia machozi jasho na damu kwa kufanya kazi kwa bidii. Inataka moyo sana kuvumilia ndio maana masnitch wanakimbiaga hapa. Kuzipata ni process na mkakati wa mda mrefu kidogo.
 
Huoni sababu ila njaa huitaki!?😅 Jus kiddin!

Kimsingi tofauti ya mapenzi ya kibongo na ulaya ipo hapo tu...Wazungu wengi ni waaminifu kwenye mapenzi yani mkipendana they love you for who you are. Sio kwa sababu unaweza mfanyia kitu flani sababu una pesa!

Motive behind ni kuwa they believe in themselves na wanajua pesa haipatikani kwa njia ya ku engage kwenye mapenzi bali kufanya kazi kwa bidii! Hiyo ndio inafanya uraisi hata mtoto wa kizungu aweze kulipa bill mgahawani au mkitoka out
Sawa mkuu sisi tuna mapungufu yetu na nyinyi pia nyie mkivumiliwa dhiki,shida mna Shukrani mkipata mnaanza kupiga matukio na kutafuta wakufana nanyi nani akubali ujinga huo
 
Hahahahahhaha😅😅😅 tatizo pesa ndio mlango wa burudani zote!

Yani ukiwaza pesa waza chumba kilichojaa yote upendayo ma rolce royce,range rover,pisi kali, mi mansion na kadhalika ila sasa funguo yake ni pesa tu!

Kuichonga hio funguo ndio kupitia machozi jasho na damu kwa kufanya kazi kwa bidii. Inataka moyo sana kuvumilia ndio maana masnitch wanakimbiaga hapa. Kuzipata ni process na mkakati wa mda mrefu kidogo.
Kupata pesa ni lazima kuwe na formula uwe unaijua vizuri....bila kujua formula pesa ni ngumu sana kuipata ndio maana vijana wengi wanachemka...
pesa imegeuka kuwa adui yao...
 
Sawa mkuu sisi tuna mapungufu yetu na nyinyi pia nyie mkivumiliwa dhiki,shida mna Shukrani mkipata mnaanza kupiga matukio na kutafuta wakufana nanyi nani akubali ujinga huo
Sio wote lakini binafsi nawaona wapuuzi tu watu wa aina hio maybe cause sina tabia za namna hio! Anaependwa na mimi akajua kuendana nami atafurahia sana siku zote za mahusiano sababu sipendag kumpa mtu head aches!
 
Kupata pesa ni lazima kuwe na formula uwe unaijua vizuri....bila kujua formula pesa ni ngumu sana kuipata ndio maana vijana wengi wanachemka...
pesa imegeuka kuwa adui yao...
Ndio maana nikasema ni mpango na mkakati wa muda mrefu ila wenye mbinu ya kuipata ndio wanainjoy sana maisha maana yana revolve around pesa. Tabu iko kwa vijana waliopo nje ya EQN ndio maana inakuwa kama matusi kuombana ombana pesa ni kusanifiana
 
Kweli kabisa
 
Pole sana Mkuu, hizo ni changamoto tunazokutana nazo katika maisha ya ujana. Fanya haya
1. Shukuru Mungu kwa kukuonyesha rangi halisi ya Anita, Just imagine, hayo yangetokea wakati umeshamuoa, ingekuaje?
2. Tafuta pesa, wanawake wanapenda Mwanaume Maarufu, Mwenye pesa ama mwenye aina yeyote ya upekee....Haukuwa na chochote kati ya hivo. Ili udumu na ufurahie penzi lako litakalofata tafuta kimoja kati ya hivyo au vyote.
 
Binti alishakata tamaaa anajiuliza kama 15k ..hela ya Saidia fundi unakosa ..kwanini asiende kwa fundi mwenyewe.
 
Kwakweli huwa sipendagi kuomba pesa natakaga mwanaume ajitambue mwenyewe kwamba natakiwa kutunza mpenzi wangu ,nikiona cpewi hata buku tano ya rasta nasepa
 
Mkuu we mtu wa miaka 38 kwanini mnamuita mzee? Ana uzee gani huyo mwalimu?

Pili, ulitaka huyo Anita akae tu hata kumpa 15 ya mafuta humpi? Ujue saa ingine hawa viumbe tunawaonea bure kabisa, wewe ni mpenzi wake tena mchumba unasema kabisa unataka mafuta na pedi nani amnunulie?

Narudia tena kusema, ukizaliwa mwanaume fanya yote pambana uwezavyo ila kaa ujue watoto wako na mpenzi wako ni jukumu lako kuwalea! Hii haijalishi huyo dada ana hela au hana! Sasa wewe kabinti ka miaka 21 unataka kasikuombe matumizi kweli? Na bila haya unakapanda kila ukisikia ugwadu

Endelea kuwaza kuwa mapenzi sio pesa alafu utaona mwisho wake. Kwanza sio ishu ya mapenzi ni pesa ila ni ishu ya mwanaume kumuhudumia mpenzi wake fullstop
Kunywa Pepsi big
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom