oscar classic
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 731
- 1,379
Na mapenzi ndio helaHela ndio mapenzi
Na mapenzi ndio helaHela ndio mapenzi





Ok!!,nimekuelewa Mkuu.Kwa kijana miaka 19 anaona ni mzee maana anaweza kumzaa (19X2=38). Kwetu ni mtoto huyo wa 38
njoo pm, hilo swala dogo! watafute waliopata tatizo kama hilo watakwambiaa how to go throughMwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha
Siku zikaenda, siku moja tukiwa faragha tukawa tunapiga stories za hapa na pale nikamgusia kabla yangu ni nani alikuwa naye kwenye mahusiano, akasema alikuwa na mwalimu mmoja wa sehemu fulani lakini baadae waliachana, na ni mwaka umepita tangu kuachana
Pia, akaeleza kwa siku za karibuni kuna mwanaume mtu mzima miaka 38 mwenye familia yake anamtaka ila hamtaki kwa sababu ana familia,ni mzee ingawa ana kazi nzuri ambayo inampa pesa ,kwa hiyo mapenzi si pesa. Aliposema mapenzi si pesa nikasema kwa sauti"Yeeeees asant,nashukuru kumpata mwanamke ambaye anajua maana ya kupenda (mapenzi) maana pesa si lolote katika mapenzi ya dhati
Kwa kuwa na mimi ndo nipo mtaani,nafanya kazi zisizo rasmi kupata kipato sikuwa vizuri kiuchumi ila Anita alionyesha kunipenda kwa hali niliyokuwa nayo akinipa matumaini siku moja tutapata pesa na tutaishi maisha mazuri
Mambo yalianza kubadilika baada ya siku moja kuniaomba elfu 30 anunue nguo,kiukweli sikuwa nayo nikamwambia avumilie nitafute
Kila siku jioni akawa ananitext anaulizia hiyo hela ,nikawa namwambia sijapata bado,sasa na mimi kwa sababu ya hiyo hela sikutaka kumuomba mchezo maana niliona aibu
Siku moja nilihisi kuzidiwa na ugwadu nikamwambia bila aibu akaja gheto nikamaliza,ila baada ya mchezo akaeleza mapungufu anayopungukiwa hadi nikahisi kuchanganyikiwa ,basi akaondoka
Baada ya siku 2 akanitext anaomba elfu 15 anunue mafuta ya kupaka na pedi,nikamwambia sina. Kuanzia hapo akaanza kupunguza mawasiliano,ikawa mimi ndo nimtafute,nikajua hela ndo tatizo ila namna ya kuipata sipati njia halali. Nikajikaza kuwa naye karibu lakini bila hela sioni mafanikio
Siku zinaenda ila nahisi kama mahusiano yanazorota, siku moja rafiki yangu akanipigia simu akanambia amemuona Anita mjini maeneo ya hotel ila kama wapo na mwanaume mtu mzima kidogo
Nikajihisi kuchanganyikiwa,hisia zikanipeleka kwa yule jamaa ambaye aliniambia kuwa anamtongoza. Basi baada ya hiyo simu nikampigia Anita simu hakupokea, kama mara 20 hapokei, nikatuma sms hakujibu
Nikazidi kuumia zaidi,jioni nikamuona online WhatsApp ,nikamtumia sms seen hakujibu,nikapiga simu hakupokea,nikatext tena whasap akajibu" Staki kuwa na mwanaume mzigo ,asiyejali ,achana na mimi " ghafla akaniblock ,nikazidi kuumia
Nikamtumia sms za kawaida" pamoja na yote yale uliokuwa unaniambia hujali pesa ,na hutaki mwanaume mzee leo unakula matapishi yako? Akanijibu"ukafungiwa kwenye chumba bila chakula kwa siku 5 lazima utakula kinyes na mkojo wako utakunywa usishangae na matapishi ,maisha mema"
Wadau siko vizuri, nahisi kuchanganyikiwa kabisa.
Vitu vingine hawa wanawake mnawaendekeza sanaaaa maisha yamebadilika sanaaa huyo hana uwezo au nguvu ya kujishugulisha na chchte hata kibarua cha kuosha vyombo mgahawani ili apate pesa ya kujimudu hata kununua pedi ya elfu 4 mpaka akae anamtegemea mwanaume amnunulie????? Mwanaume ndo huyo hana kazi ya kueleweka leo ana pesa kesho hana mnataka afanye nn aibe????? Kama ww una kazi ya kukupatia uhakika wa kipato shukuru Mungu wengine hawana. Mwanamke ambae anaomba msaada wa kipesa na mwanaume amekosa anaendelea kutafuta afu mwanamke anachukia na kwenda kwa mwanaume mwingine na kuuza utu wake kisa mpenzi wake kakosa pesa ya kumuhudumia huyo ni kahaba kama makahaba wengine kama kukosa pesa ni kitu cha kawaida mbona yeye pia kakosa mpaka anaomba???? Binafsi nachukia sanaaa wanawake wanaobweteka na kuendekeza kuhudumiwa kwa kila kitu mpaka sabuni ya kuogea ya buku anataka anunuliwe wakati yeye hakuna cha maana anachojishugulisha zaid ya kukaa kupiga story na mashost hata vocha ya 500 anapiga simu kwa mwanaume aninunuliwe na aungwe bundle shenz kabisaaa. Mdau kama Anita kakuona haufai akaenda kwa mwingine kisa tu anaweza patiwa sabuni na pedi basi tambua hakufai na bora kaondoka mapema kabla hujamuoa hakuna rangi usingeona. Muhimu endelea kupambana kutafuta pesa maisha ni foleni na yako inakuja utafanikiwa na pia utampata mwenzi wa maisha yako ambae atakupenda kwa dhat na mtajenga familia nakuombea ktk hili.Mkuu we mtu wa miaka 38 kwanini mnamuita mzee? Ana uzee gani huyo mwalimu?
Pili, ulitaka huyo Anita akae tu hata kumpa 15 ya mafuta humpi? Ujue saa ingine hawa viumbe tunawaonea bure kabisa, wewe ni mpenzi wake tena mchumba unasema kabisa unataka mafuta na pedi nani amnunulie?
Narudia tena kusema, ukizaliwa mwanaume fanya yote pambana uwezavyo ila kaa ujue watoto wako na mpenzi wako ni jukumu lako kuwalea! Hii haijalishi huyo dada ana hela au hana! Sasa wewe kabinti ka miaka 21 unataka kasikuombe matumizi kweli? Na bila haya unakapanda kila ukisikia ugwadu
Endelea kuwaza kuwa mapenzi sio pesa alafu utaona mwisho wake. Kwanza sio ishu ya mapenzi ni pesa ila ni ishu ya mwanaume kumuhudumia mpenzi wake fullstop
Mkuu ukimaliza kuongea haya yote, jiandae tu kumuhudumia mpenzi au mke wako.Vitu vingine hawa wanawake mnawaendekeza sanaaaa maisha yamebadilika sanaaa huyo hana uwezo au nguvu ya kujishugulisha na chchte hata kibarua cha kuosha vyombo mgahawani ili apate pesa ya kujimudu hata kununua pedi ya elfu 4 mpaka akae anamtegemea mwanaume amnunulie????? Mwanaume ndo huyo hana kazi ya kueleweka leo ana pesa kesho hana mnataka afanye nn aibe????? Kama ww una kazi ya kukupatia uhakika wa kipato shukuru Mungu wengine hawana. Mwanamke ambae anaomba msaada wa kipesa na mwanaume amekosa anaendelea kutafuta afu mwanamke anachukia na kwenda kwa mwanaume mwingine na kuuza utu wake kisa mpenzi wake kakosa pesa ya kumuhudumia huyo ni kahaba kama makahaba wengine kama kukosa pesa ni kitu cha kawaida mbona yeye pia kakosa mpaka anaomba???? Binafsi nachukia sanaaa wanawake wanaobweteka na kuendekeza kuhudumiwa kwa kila kitu mpaka sabuni ya kuogea ya buku anataka anunuliwe wakati yeye hakuna cha maana anachojishugulisha zaid ya kukaa kupiga story na mashost hata vocha ya 500 anapiga simu kwa mwanaume aninunuliwe na aungwe bundle shenz kabisaaa. Mdau kama Anita kakuona haufai akaenda kwa mwingine kisa tu anaweza patiwa sabuni na pedi basi tambua hakufai na bora kaondoka mapema kabla hujamuoa hakuna rangi usingeona. Muhimu endelea kupambana kutafuta pesa maisha ni foleni na yako inakuja utafanikiwa na pia utampata mwenzi wa maisha yako ambae atakupenda kwa dhat na mtajenga familia nakuombea ktk hili.
Da aisee me mwenyewe nimeshangaa hadi alfu kumi na tano inamshinda khaayani had pedi unashindwa unataka amnunulie nan sasa? na unasema alikuvumilia? leo yamemshinda unamshangaa. ah tuwe serious bana
FactMkuu we mtu wa miaka 38 kwanini mnamuita mzee? Ana uzee gani huyo mwalimu?
Pili, ulitaka huyo Anita akae tu hata kumpa 15 ya mafuta humpi? Ujue saa ingine hawa viumbe tunawaonea bure kabisa, wewe ni mpenzi wake tena mchumba unasema kabisa unataka mafuta na pedi nani amnunulie?
Narudia tena kusema, ukizaliwa mwanaume fanya yote pambana uwezavyo ila kaa ujue watoto wako na mpenzi wako ni jukumu lako kuwalea! Hii haijalishi huyo dada ana hela au hana! Sasa wewe kabinti ka miaka 21 unataka kasikuombe matumizi kweli? Na bila haya unakapanda kila ukisikia ugwadu
Endelea kuwaza kuwa mapenzi sio pesa alafu utaona mwisho wake. Kwanza sio ishu ya mapenzi ni pesa ila ni ishu ya mwanaume kumuhudumia mpenzi wake fullstop
Unashangaa mtu kukosa elfu 15 mfukoni????? Shukuru Mungu hujawahi pitia katika hali ya kutikisika vibaya kiuchumi mzeePambana jamaa aisee, inawezekanaje hata alfu kumi na tano ikakushinda bro
Mpaka kesho naamini kua pesa ndio mwanamke mzuri duniani hakuna ,,,pesa ndio furaha pekee ambayo haikusaliti ukiwa nayoMwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha
We ni mshamba samahani Kama nimekuudhi, pale alivyokuomba elfu 30 ukashindwa Mara elfu 15, na ukaambiwa ameonekana na mbaba hoteli ingetakiwa umpotezee lile hitaji muhimu ameshakupa,Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha