Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

Mkuu! Kwanza mshukuru Mungu amekuonesha tabia ya uyu binti mapema, pia mshukuru uyo binti kwa kua amekuacha sababu huna pesa. Pesa zinatafutwa mwanamume mwenzangu. Je angekuacha kisa una Uume/Kigegedo kidogo ungeliaje? Maana huna namna yoyote ya kufanya ili kusolve tatzo ilo but una namna nying ya kufanya kusolve iyo ishu ya kukosa pesa. Tafuta pesa mwanamume vinginevyo mademu wazuri wote utawaita Shemeji
 
Huwezi kutenganisha mapenzi na pesa hivi ni vitu muhimu tunavyo vihitaji kwa pamoja katika maisha yetu.Binafsi sioni sababu ya kumuacha nimpendaye kwa sababu ya pesa.
Wewe dada ni mrembo sana katika hii sayari.
 
Sasa baada ya kutafuta pesa ., we utatafuta pisi nyingine .

Ila kwenye la kula pisi au kula maisha na pisi yoyote sio hela ni Akili tu mtu wangu😅😅😅
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom