Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

Unafanana na mtu aliyechoshwa na mwendo, yaani safari yako kama anaona inafifia hivi. Sasa mkuu mwambie kama atakupenda hutojali shida zake lakini kama anataka kucheza akatafute refa wa kumbeba kama huyo teacher. Ila mkuu pambana umpe pesa ya ped.
 
Mkuu kwa kweli mimi sio tajiri ila kwenye swala la kumsaidia mpenz wangu hasa nikijua yupo mwenzini hua sisubiri ata aniombe hua nafanya tuu muamala akanunue taulo zao, na swala la kusuka, nguo pamoja na kumtoa outing hua simwachi cha msingi hua namdadisi anataka nguo gani naenda mwenywew kununua nampelekea kama zawadi, ukimweza mwanamke kwa hayo mkuu sidhani kama utakuja apa kulalamika na wala hutumii pesa nyingi cha msingi tuu asiwe mpenda anasa.
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi)

Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa

Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha

Siku zikaenda,siku moja tukiwa faragha tukawa tunapiga stories za hapa na pale nikamgusia kabla yangu ni nani alikuwa naye kwenye mahusiano, akasema alikuwa na mwalimu mmoja wa sehemu fulani lakini baadae waliachana ,na ni mwaka umepita tangu kuachana

Pia akaeleza kwa siku za karibuni kuna mwanaume mtu mzima miaka 38 mwenye familia yake anamtaka ila hamtaki kwa sababu ana familia,ni mzee ingawa ana kazi nzuri ambayo inampa pesa ,kwa hiyo mapenzi si pesa

Aliposema mapenzi si pesa nikasema kwa sauti"Yeeeees asant,nashukuru kumpata mwanamke ambaye anajua maana ya kupenda (mapenzi) maana pesa si lolote katika mapenzi ya dhati

Kwa kuwa na mimi ndo nipo mtaani,nafanya kazi zisizo rasmi kupata kipato sikuwa vizuri kiuchumi ila Anita alionyesha kunipenda kwa hali niliyokuwa nayo akinipa matumaini siku moja tutapata pesa na tutaishi maisha mazuri

Mambo yalianza kubadilika baada ya siku moja kuniaomba elfu 30 anunue nguo,kiukweli sikuwa nayo nikamwambia avumilie nitafute

Kila siku jioni akawa ananitext anaulizia hiyo hela ,nikawa namwambia sijapata bado,sasa na mimi kwa sababu ya hiyo hela sikutaka kumuomba mchezo maana niliona aibu

Siku moja nilihisi kuzidiwa na ugwadu nikamwambia bila aibu akaja gheto nikamaliza,ila baada ya mchezo akaeleza mapungufu anayopungukiwa hadi nikahisi kuchanganyikiwa ,basi akaondoka

Baada ya siku 2 akanitext anaomba elfu 15 anunue mafuta ya kupaka na pedi,nikamwambia sina

Kuanzia hapo akaanza kupunguza mawasiliano,ikawa mimi ndo nimtafute,nikajua hela ndo tatizo ila namna ya kuipata sipati njia halali

Nikajikaza kuwa naye karibu lakini bila hela sioni mafanikio

Siku zinaenda ila nahisi kama mahusiano yanazorota ,siku moja rafiki yangu akanipigia simu akanambia amemuona Anita mjini maeneo ya hotel ila kama wapo na mwanaume mtu mzima kidogo

Nikajihisi kuchanganyikiwa,hisia zikanipeleka kwa yule jamaa ambaye aliniambia kuwa anamtongoza

Basi baada ya hiyo simu nikampigia Anita simu hakupokea,kama mara 20 hapokei,nikatuma sms hakujibu

Nikazidi kuumia zaidi,jioni nikamuona online WhatsApp ,nikamtumia sms seen hakujibu,nikapiga simu hakupokea,nikatext tena whasap akajibu" Staki kuwa na mwanaume mzigo ,asiyejali ,achana na mimi " ghafla akaniblock ,nikazidi kuumia

Nikamtumia sms za kawaida" pamoja na yote yale uliokuwa unaniambia hujali pesa ,na hutaki mwanaume mzee leo unakula matapishi yako?

Akanijibu"ukafungiwa kwenye chumba bila chakula kwa siku 5 lazima utakula kinyes na mkojo wako utakunywa usishangae na matapishi ,maisha mema"

Wadau siko vizuri,nahisi kuchanganyikiwa kabisa.
 
Mi kuna mmoja iliwahi nitokeaga pesa ilikataga ghafla yaani nikawa sina pesa kama kipindi cha mwaka ivi nikawa naunga unga kazi, biashara unafanya ukiuza unatumia kesho unaamka pumbu tupu aseee nilipaukaga acha.

Yaani hicho kipindi natumia simu ndogo banaa kuna demu nilmpata ni mdogo 21 miaka yake, asee kakanipendaga lakini kila saa nikawa tunazinguana maana bby ile niungie bando huku nadaiwa kwenye simu, mara umeme umeisha maana unakuta unanua wa 2000 unawasha unakaa nao kiaina hapo uzuri nilikuwa sijapanga nyumba.

Sasa bhna kutokana na vizinga kadhaa wala hakuwa anaomba zaidi ya 5000 ni vizinga vidogo nadhani mnaelewa nikisema ivo😁😅 kademu tukawa tuko kimya mara kikapataga jamaa yuko serikalini akawa yuko nae karibu yan jamaa alikuwa anakahonga sio mchezo, lakini demu hakumuelewaga.

Ikafika mahali demu akahamishia majeshi kwangu muhuni nikawa namfaidi saa ingine yeye akawa demu ananipa maisha demu ashajenga now anakwake ila pesa kachota kwa jamaa na jamaa hajui yaan washatemanaga maana jamaa alikuwa na wivu hampi uhuru sasa hata uwe nazo ukishakuwa hivo ndio basi demu anakuona miyeyusho.
saivi demu gemu nikitaka hadi leo ananipa show now kashakuwa mtu mzima kiasi miaka 26 sasa.
 
Tafuta size yako achana na oversize
 
Mi kuna mmoja iliwahi nitokeaga pesa ilikataga ghafla yaani nikawa sina pesa kama kipindi cha mwaka ivi nikawa naunga unga kazi, biashara unafanya ukiuza unatumia kesho unaamka pumbu tupu aseee nilipaukaga acha.

Y
Duh 26 kajenga. Unatoa na vitumbua huu uzi au tuje na maandazi yetu
 
Duh 26 kajenga . Unatoa na vitumbua huu uzi au tuje na maandazi yetu
Ana weza akawa ana 26 au 27 mkuu sina uhakika sana mkuu maana huyu manzi ana umbo kubwa lakini mdogo, yaani alikuwa kapewa kiwanja mbezi majohe na mama yake. Ofcourse ni nyumba ndogo tu na hajaifanyia finish kiivo sasa jamaa anatoa hata mtaji wa biashara 😅
 
Wewe jamaa acha uzembe. Ulikosa elfu 15 ya kumnunulia pedi na wakati unasema mwenyewe ulizidiwa ukamuita. Kama huna uwezo wa kumtumza mwanamke kisa wewe sio baba yake, basi usimuombe kitu ambacho huwezi kumuomba mama yako.

Unahisi hata waliooa wanalala tu kisha mwanamke anajitegemea. Mimi kuna manzi yangu pisi kali kinoma kaniacha ila nimejikubali. Details zake zote ninazo natafuta hela nikizipata within 4 years hii namtafuta kurekebisha rekodi. Na ukipata hela sana yule aliyekukataa unamtoa kwenye hadhi yao
 
Kwani Tanzania ni Tajiri au wanaume wote ni billionea mbona wote wapo kwenye mahusiano asilimia kubwa watu wanaachana kwa sababu nyingine tatizo ya Mwanaume akiwa labla uchumi wake hauko sawa hata akifanya kosa anajificha kwenye mwavuli wa kwa sababu sina pesa ndio maana umeniacha.kama pesa ndio kutovunjika mahusiano mbona Mabilionea wameachana.
Bilgate na mkewe
Mengi na mkewe

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Umeachwa kwa sababu umeshindwa kumhudumia mahitaji ya msingi, sio kwa sababu huna pesa.

Bado hujakutana na wanawake wapenda pesa. Binti wa watu kakuvumilia muda mrefu.

Halaf acha uswahili wa kupiga simu mara 20.
 
Wewe jamaa acha uzembe. Ulikosa elfu 15 ya kumnunulia pedi na wakati unasema mwenyewe ulizidiwa ukamuita. Kama huna uwezo wa kumtumza mwanamke kisa wewe sio baba yake, basi usimuombe kitu ambacho huwezi kumuomba mama yako.

Unahisi hata waliooa wanalala tu kisha mwanamke anajitegemea. Mimi kuna manzi yangu pisi kali kinoma kaniacha ila nimejikubali. Details zake zote ninazo natafuta hela nikizipata within 4 years hii namtafuta kurekebisha rekodi. Na ukipata hela sana yule aliyekukataa unamtoa kwenye hadhi yao
Nimekusoma mkuu
 
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha.....

Umeyataka makusudi hukuonesha kujali ulijbu tu Sina Sina nitatafuta Sina walau ungekopa elfu 10
 
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi). Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa. Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha

Siku zikaenda, siku moja tukiwa faragha tukawa tunapiga stories za hapa na pale nikamgusia kabla yangu ni nani alikuwa naye kwenye mahusiano, akasema alikuwa na mwalimu mmoja wa sehemu fulani lakini baadae waliachana, na ni mwaka umepita tangu kuachana

Pia, akaeleza kwa siku za karibuni kuna mwanaume mtu mzima miaka 38 mwenye familia yake anamtaka ila hamtaki kwa sababu ana familia,ni mzee ingawa ana kazi nzuri ambayo inampa pesa ,kwa hiyo mapenzi si pesa. Aliposema mapenzi si pesa nikasema kwa sauti"Yeeeees asant,nashukuru kumpata mwanamke ambaye anajua maana ya kupenda (mapenzi) maana pesa si lolote katika mapenzi ya dhati

Kwa kuwa na mimi ndo nipo mtaani,nafanya kazi zisizo rasmi kupata kipato sikuwa vizuri kiuchumi ila Anita alionyesha kunipenda kwa hali niliyokuwa nayo akinipa matumaini siku moja tutapata pesa na tutaishi maisha mazuri

Mambo yalianza kubadilika baada ya siku moja kuniaomba elfu 30 anunue nguo,kiukweli sikuwa nayo nikamwambia avumilie nitafute

Kila siku jioni akawa ananitext anaulizia hiyo hela ,nikawa namwambia sijapata bado,sasa na mimi kwa sababu ya hiyo hela sikutaka kumuomba mchezo maana niliona aibu

Siku moja nilihisi kuzidiwa na ugwadu nikamwambia bila aibu akaja gheto nikamaliza,ila baada ya mchezo akaeleza mapungufu anayopungukiwa hadi nikahisi kuchanganyikiwa ,basi akaondoka

Baada ya siku 2 akanitext anaomba elfu 15 anunue mafuta ya kupaka na pedi,nikamwambia sina. Kuanzia hapo akaanza kupunguza mawasiliano,ikawa mimi ndo nimtafute,nikajua hela ndo tatizo ila namna ya kuipata sipati njia halali. Nikajikaza kuwa naye karibu lakini bila hela sioni mafanikio

Siku zinaenda ila nahisi kama mahusiano yanazorota, siku moja rafiki yangu akanipigia simu akanambia amemuona Anita mjini maeneo ya hotel ila kama wapo na mwanaume mtu mzima kidogo

Nikajihisi kuchanganyikiwa,hisia zikanipeleka kwa yule jamaa ambaye aliniambia kuwa anamtongoza. Basi baada ya hiyo simu nikampigia Anita simu hakupokea, kama mara 20 hapokei, nikatuma sms hakujibu

Nikazidi kuumia zaidi,jioni nikamuona online WhatsApp ,nikamtumia sms seen hakujibu,nikapiga simu hakupokea,nikatext tena whasap akajibu" Staki kuwa na mwanaume mzigo ,asiyejali ,achana na mimi " ghafla akaniblock ,nikazidi kuumia

Nikamtumia sms za kawaida" pamoja na yote yale uliokuwa unaniambia hujali pesa ,na hutaki mwanaume mzee leo unakula matapishi yako? Akanijibu"ukafungiwa kwenye chumba bila chakula kwa siku 5 lazima utakula kinyes na mkojo wako utakunywa usishangae na matapishi ,maisha mema"

Wadau siko vizuri, nahisi kuchanganyikiwa kabisa.

Pole sana Mkuu, Mapenzi sio pesa ila ikikosekana yanapungua, pesa ni mbolea kwenye mahusiano, ukiona huna uhakika wa elfu 50 kwa wiki , usiruhusu kuwa deep in love
Kubaliana na hali tu
 
Mkuu we mtu wa miaka 38 kwanini mnamuita mzee? Ana uzee gani huyo mwalimu?

Pili, ulitaka huyo Anita akae tu hata kumpa 15 ya mafuta humpi? Ujue saa ingine hawa viumbe tunawaonea bure kabisa, wewe ni mpenzi wake tena mchumba unasema kabisa unataka mafuta na pedi nani amnunulie?

Narudia tena kusema, ukizaliwa mwanaume fanya yote pambana uwezavyo ila kaa ujue watoto wako na mpenzi wako ni jukumu lako kuwalea! Hii haijalishi huyo dada ana hela au hana! Sasa wewe kabinti ka miaka 21 unataka kasikuombe matumizi kweli? Na bila haya unakapanda kila ukisikia ugwadu

Endelea kuwaza kuwa mapenzi sio pesa alafu utaona mwisho wake. Kwanza sio ishu ya mapenzi ni pesa ila ni ishu ya mwanaume kumuhudumia mpenzi
 
Arekebishe kauli miaka 38 sio mzee huyo. Hujaona matangazo ya waganga wanaorudisha wapenzi nakushauri uende huko.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom