Mpenzi wangu kaniacha kisa sina pesa

Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi)

Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa

Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha
Miaka 38 ni mzee??.Hivi unafahamu maana ya uzee kweli wewe??.
 
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi)

Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa

Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha

Siku zikaenda,siku moja tukiwa faragha tukawa tunapiga stories za hapa na pale nikamgusia kabla yangu ni nani alikuwa naye kwenye mahusiano, akasema alikuwa na mwalimu mmoja wa sehemu fulani lakini baadae waliachana ,na ni mwaka umepita tangu kuachana

Pia akaeleza kwa siku za karibuni kuna mwanaume mtu mzima miaka 38 mwenye familia yake anamtaka ila hamtaki kwa sababu ana familia,ni mzee ingawa ana kazi nzuri ambayo inampa pesa ,kwa hiyo mapenzi si pesa

Aliposema mapenzi si pesa nikasema kwa sauti"Yeeeees asant,nashukuru kumpata mwanamke ambaye anajua maana ya kupenda (mapenzi) maana pesa si lolote katika mapenzi ya dhati

Kwa kuwa na mimi ndo nipo mtaani,nafanya kazi zisizo rasmi kupata kipato sikuwa vizuri kiuchumi ila Anita alionyesha kunipenda kwa hali niliyokuwa nayo akinipa matumaini siku moja tutapata pesa na tutaishi maisha mazuri

Mambo yalianza kubadilika baada ya siku moja kuniaomba elfu 30 anunue nguo,kiukweli sikuwa nayo nikamwambia avumilie nitafute

Kila siku jioni akawa ananitext anaulizia hiyo hela ,nikawa namwambia sijapata bado,sasa na mimi kwa sababu ya hiyo hela sikutaka kumuomba mchezo maana niliona aibu

Siku moja nilihisi kuzidiwa na ugwadu nikamwambia bila aibu akaja gheto nikamaliza,ila baada ya mchezo akaeleza mapungufu anayopungukiwa hadi nikahisi kuchanganyikiwa ,basi akaondoka

Baada ya siku 2 akanitext anaomba elfu 15 anunue mafuta ya kupaka na pedi,nikamwambia sina

Kuanzia hapo akaanza kupunguza mawasiliano,ikawa mimi ndo nimtafute,nikajua hela ndo tatizo ila namna ya kuipata sipati njia halali

Nikajikaza kuwa naye karibu lakini bila hela sioni mafanikio

Siku zinaenda ila nahisi kama mahusiano yanazorota ,siku moja rafiki yangu akanipigia simu akanambia amemuona Anita mjini maeneo ya hotel ila kama wapo na mwanaume mtu mzima kidogo

Nikajihisi kuchanganyikiwa,hisia zikanipeleka kwa yule jamaa ambaye aliniambia kuwa anamtongoza

Basi baada ya hiyo simu nikampigia Anita simu hakupokea,kama mara 20 hapokei,nikatuma sms hakujibu

Nikazidi kuumia zaidi,jioni nikamuona online WhatsApp ,nikamtumia sms seen hakujibu,nikapiga simu hakupokea,nikatext tena whasap akajibu" Staki kuwa na mwanaume mzigo ,asiyejali ,achana na mimi " ghafla akaniblock ,nikazidi kuumia

Nikamtumia sms za kawaida" pamoja na yote yale uliokuwa unaniambia hujali pesa ,na hutaki mwanaume mzee leo unakula matapishi yako?

Akanijibu"ukafungiwa kwenye chumba bila chakula kwa siku 5 lazima utakula kinyes na mkojo wako utakunywa usishangae na matapishi ,maisha mema"

Wadau siko vizuri,nahisi kuchanganyikiwa kabisa.
View attachment 1812977
Kakusaidia sana maana pesa huna hata kile kidogo ungekuwa wamtaftia yeye.
Hapo pambana utoke ili siku moja awe anasema mnamuona yule jamaa, aliwah kuwa mpenzi wangu kama mnabisha tukamuulize
 
Huwezi kutenganisha mapenzi na pesa hivi ni vitu muhimu tunavyo vihitaji kwa pamoja katika maisha yetu.Binafsi sioni sababu ya kumuacha nimpendaye kwa sababu ya pesa.
Kwani unamuacha bhasi kwa kupenda au kuamua….unajikuta tu amekutoka moyoni yani humfeel tu tena.. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 labda kama anakukuna vizuriii japo nayo sio guarantee
 
We jamaa tafuta hela aisee hakuna namna we tafuta hela tu mzee sasa ulitaka uwe unamtomba mtoto wa watu bure mzee we jamaa vipi ebu kuwa mwanaume aisee, upo mkoa gani ? mbona hizi sio stail za daslama ?
 
kwani unamuacha bhasi kwa kupenda au kuamua….unajikuta tu amekutoka moyoni yani humfeel tu tena.. 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 labda kama anakukuna vizuriii japo nayo sio guarantee
Kwani Tanzania ni Tajiri au wanaume wote ni billionea mbona wote wapo kwenye mahusiano asilimia kubwa watu wanaachana kwa sababu nyingine tatizo ya Mwanaume akiwa labla uchumi wake hauko sawa hata akifanya kosa anajificha kwenye mwavuli wa kwa sababu sina pesa ndio maana umeniacha.kama pesa ndio kutovunjika mahusiano mbona Mabilionea wameachana.
 
Hawa viumbe pesa tu hakuna kingine , kama huna pesa pisi kali zote utaishia kuziita shemeji tu. Bila pesa mwanaume ni kama shoga tu. Tafuta pesa atakutafuta tu, kuna watu walimdiss DOMO aka Daimond enzi zile za Mbagala sasahivi wanaenda hadi kuroga awakumbuke , pesa pesa pesa nyingine mbwembwe tu
 
hakuna ku ma ya bure kamanda, ku ma ya bure ni mkono wako tu , ila hata Vaseline unanunua

karibu chama cha nyeto,
 
Mwaka jana kama mwezi wa 8 nikiwa katika mazingira ya senta yetu nilikutana na mdada miaka 21 kwa jina Anita(si jina halisi)

Nikaanza mchakato wa kumuaproach niwe nawe katika mahusiano ambayo hatima yake itakuwa ni ndoa

Katika harakati zile za kumtaka pamoja na ugumu lakini baadae alinielewa na akakubali kuwa na mimi katika shida na raha

Siku zikaenda,siku moja tukiwa faragha tukawa tunapiga stories za hapa na pale nikamgusia kabla yangu ni nani alikuwa naye kwenye mahusiano, akasema alikuwa na mwalimu mmoja wa sehemu fulani lakini baadae waliachana ,na ni mwaka umepita tangu kuachana

Pia akaeleza kwa siku za karibuni kuna mwanaume mtu mzima miaka 38 mwenye familia yake anamtaka ila hamtaki kwa sababu ana familia,ni mzee ingawa ana kazi nzuri ambayo inampa pesa ,kwa hiyo mapenzi si pesa

Aliposema mapenzi si pesa nikasema kwa sauti"Yeeeees asant,nashukuru kumpata mwanamke ambaye anajua maana ya kupenda (mapenzi) maana pesa si lolote katika mapenzi ya dhati

Kwa kuwa na mimi ndo nipo mtaani,nafanya kazi zisizo rasmi kupata kipato sikuwa vizuri kiuchumi ila Anita alionyesha kunipenda kwa hali niliyokuwa nayo akinipa matumaini siku moja tutapata pesa na tutaishi maisha mazuri

Mambo yalianza kubadilika baada ya siku moja kuniaomba elfu 30 anunue nguo,kiukweli sikuwa nayo nikamwambia avumilie nitafute

Kila siku jioni akawa ananitext anaulizia hiyo hela ,nikawa namwambia sijapata bado,sasa na mimi kwa sababu ya hiyo hela sikutaka kumuomba mchezo maana niliona aibu

Siku moja nilihisi kuzidiwa na ugwadu nikamwambia bila aibu akaja gheto nikamaliza,ila baada ya mchezo akaeleza mapungufu anayopungukiwa hadi nikahisi kuchanganyikiwa ,basi akaondoka

Baada ya siku 2 akanitext anaomba elfu 15 anunue mafuta ya kupaka na pedi,nikamwambia sina

Kuanzia hapo akaanza kupunguza mawasiliano,ikawa mimi ndo nimtafute,nikajua hela ndo tatizo ila namna ya kuipata sipati njia halali

Nikajikaza kuwa naye karibu lakini bila hela sioni mafanikio

Siku zinaenda ila nahisi kama mahusiano yanazorota ,siku moja rafiki yangu akanipigia simu akanambia amemuona Anita mjini maeneo ya hotel ila kama wapo na mwanaume mtu mzima kidogo

Nikajihisi kuchanganyikiwa,hisia zikanipeleka kwa yule jamaa ambaye aliniambia kuwa anamtongoza

Basi baada ya hiyo simu nikampigia Anita simu hakupokea,kama mara 20 hapokei,nikatuma sms hakujibu

Nikazidi kuumia zaidi,jioni nikamuona online WhatsApp ,nikamtumia sms seen hakujibu,nikapiga simu hakupokea,nikatext tena whasap akajibu" Staki kuwa na mwanaume mzigo ,asiyejali ,achana na mimi " ghafla akaniblock ,nikazidi kuumia

Nikamtumia sms za kawaida" pamoja na yote yale uliokuwa unaniambia hujali pesa ,na hutaki mwanaume mzee leo unakula matapishi yako?

Akanijibu"ukafungiwa kwenye chumba bila chakula kwa siku 5 lazima utakula kinyes na mkojo wako utakunywa usishangae na matapishi ,maisha mema"

Wadau siko vizuri,nahisi kuchanganyikiwa kabisa.
View attachment 1812977
Pole sana,kwakuwa alikuwa ni mpenzi na sio mke,tafuta ambaye anafanana na hali yako,usipende vitu visivyokuwa vya hadhi yako na kuviruhusu kuumiza moyo wako...
 
Huwezi kutenganisha mapenzi na pesa hivi ni vitu muhimu tunavyo vihitaji kwa pamoja katika maisha yetu.Binafsi sioni sababu ya kumuacha nimpendaye kwa sababu ya pesa.
Unaongea tu. Kumbuka ni binti 21 hana kipato na anahitaji pedi aipate wapi? Je, kuna urafiki usio na faida? Hata angalikuwa ni mwanamke mwenzako akiwa rafiki yako lazima kuna kitu unafaidi kutoka kwake naye vile vile hata kama ni umbea tu.

Turudi kwenye kesi ya huyu jamaa, yeye kampenda Anita kwa vile ana K. Anita naye alimkubali kwa vile alijua atapata ndoa na zaidi ya hapo atatunzwa. Kwa mtaji huo unamwona Anita ni mbaya au kukosa fedha ndiyo kubaya
 
Nimekosa cha kukoment,

Juzi, niliona mtu kaandika kuwa

HUNA PESA NA UNAOMBA MAISHA MAREFU SASA UTAKULA NINI??

Sentensi hii niliiwaza nikaona kumbe pesa ndiyo kila kitu.
 
Unaongea tu. Kumbuka ni binti 21 hana kipato na anahitaji pedi aipate wapi? Je, kuna urafiki usio na faida? Hata angalikuwa ni mwanamke mwenzako akiwa rafiki yako lazima kuna kitu unafaidi kutoka kwake naye vile vile hata kama ni umbea tu.

Turudi kwenye kesi ya huyu jamaa, yeye kampenda Anita kwa vile ana K. Anita naye alimkubali kwa vile alijua atapata ndoa na zaidi ya hapo atatunzwa. Kwa mtaji huo unamwona Anita ni mbaya au kukosa fedha ndiyo kubaya
Mpendwa hujaielewa comment yangu soma vizuri
 
Back
Top Bottom